Habari za Jumla
May 7, 2024, 6:22 am
Bilioni 5.7 kutatua miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua Songwe
Na Denis Sinkonde,Songwe Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kasi ya kurejesha miundombinu ya barabara iliyoharibiw ana mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo. Chongolo ameeleza kuwa changamoto ya uharibifu…
6 May 2024, 18:08
Watu kadhaa wahofiwa kwa kufa ajali Mbeya
Watumiaji wa barabara wamekuwa wakisisitizwa kutii na kufuata sheria za barabarani ili kuepusha ajali zisizo za lazima sambamba na kukagua vyombo vyao kabla ya safari. Na Hobokela Lwinga Watu kadhaa wanahofia kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya roli…
6 May 2024, 15:58
Neema yawashukia wakulima wa mpunga kasulu
Serikali imeeleza kuwa wakulima wataendelea kuneemeka na mavuno yenye tija iwapo watazingatia maelekezo ya wataalamu wa kilimo juu ya kilimo chenye tija na ushindani katika soko la ndani na nje ya nchi. Na Timotheo Leonard – Kasulu Wakulima wa zao…
6 May 2024, 14:18
108 wakabidhiwa vyeti vya udereva Kyela
Katika kukabiliana na ajali za barabarani jeshi la polisi mkoa wa Mbeya limetoa vyeti kwa wahitimu miamoja na nane hapa wilayani kyela mbele ya mgeni rasmi afande RTO H.A Gawile. Na Nsangatii Mwakipesile Mrakibu wa jeshi la polisi kitengo cha…
6 May 2024, 13:29
Ikimba yalamba manoti ya Babylon Mwakyambile
Mkurugenzi wa kampuni ya Covenant Edible Oil Ltd wazarishaji wa mafuta ya kyela Cooking Oil na Sungold Cooking Oil Babylon Mwakyambile amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kata ya Ikimba kushikamana ili kufanikisha ujenzi wa ofisi za chama hicho. Na…
6 May 2024, 08:53
RC Andengenye awataka vijana wa jkt kujiajiri
Vijana wa kujenga wanaohitimu mafunzo ya kijeshi katika kambi ya mtabila wametakuwa kuwa wazalendo kwa nchi na kutumia maarifa na ujuzi waliopata katika kujiajiri na kuacha kutegemea ajira. Na, Tryphone Odace – Kasulu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye…
6 May 2024, 7:36 am
Vijana tafuteni kipato cha halali, serikali ipo nanyi
Mnapofanya kazi zenu kwa uhalali serikali inawaona na itawawezesha kukabiliana na changamoto mnazokutana nazo. Na Cosmas Clement Vijana mkoani Tanga wametakiwa kujituma kwa kufanya kazi halali za kujiingizia kipato ili kuwawezesha kusonga mbele kimaendeleo na kupunguza tatizo la vijana kukosa…
May 6, 2024, 6:52 am
Watu sita wakamatwa kwa kutoa mikopo ya kausha damu bila kibali
Na Denis Sinkonde,Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania, wamewakamata watu 6, kwa tuhuma za kufanya biashara ya huduma za mikopo, maarufu kama ‘Kausha Damu’ bila kuwa na leseni, ambapo pia watu hao…
May 6, 2024, 6:28 am
Mwandishi wa habari akamatwa kwa kujifanya usalama wa taifa
Na Denis Sinkonde,Songwe Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) ambaye jina lake limehifadhiwa kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, akijitambulisha kuwa ofisa usalama wa Taifa. Kamanda Senga ameyasema…
3 May 2024, 16:02
Milioni 700 kuongeza mtandao wa maji Kasulu
Milioni 700 zimetolewa kwa ajili ya kutandika mabomba ya maji kwa kata za kasulu mjini ili kuwasogezea wananchi huduma ya maji karibu.