Radio Tadio

Habari za Jumla

10 Febuari 2021, 2:13 um

Wafanya biashara watakiwa kufungua maduka.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya  Kilosa Asajile Lucas Mwambambale ametoa rai kwa wafanyabiashara waliopanga katika vibanda vya biashara vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa vilivyopo katika kata ya Kasiki waliofunga maduka kufungua maduka hayo ili wananchi waendelee…

9 Febuari 2021, 2:11 um

Mpango mwingine wa miaka 10 waanzishwa kupunguza ajali

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Kufuatia mpango kazi wa Dunia wa kuzuia ajali za barabarani kwa asilimia 50% wa miaka kumi iliyopita 2011 hadi 2020 kutokufika malengo, umeanzishwa mpango mwingine wa miaka 10, 2021 hadi 2030 unaoendana na malengo ya maendeleo endelevu.…

8 Febuari 2021, 1:43 um

CDF lasaidia kupunguza mimba za utotoni Mpwapwa

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Zaidi ya wanafunzi elfu moja kutoka shule 8 za Sekondari na 12 za Msingi Wilayani Mpwapwa, wamefanikiwa kupata mafunzo ya kuwajengea mazingira salama wawapo shuleni toka mwaka 2017. Akizungumza na Taswira ya habari meneja miradi kutoka Shirika…

7 Febuari 2021, 11:06 mu

TANESCO Mtwara watoa elimu kwa wajasiliamali

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mtwara, wametoa elimu ya matumizi sahihi ya umeme kwa wajasiliamali mkoani hapa baada ya kuwatembelea kwenye sehemu zao za Biashara Manispaa ya Mtwara Mikindani. Akitoa elimu hiyo mhandisi Aurea Bigirwamungu ambae ni afisa…

5 Febuari 2021, 4:40 um

TASAF yazidi kunufaisha kaya masikini

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Kaya milion moja na laki mbili zinatarajiwa kushiriki katika miradi ya kuinua uchumi wa kaya kati ya kaya milion 1 laki nne na nusu zilizopo katika kipindi cha pili cha awamu ya 3, ya utekelezaji wa mpango…

5 Febuari 2021, 4:19 um

Chupa zenye haja ndogo zatupwa hovyo mitaani

Na,Yusuph Hans, Dodoma. Wakazi wa Maeneo mbalimbali Mkoani Dodoma wamelalamikia tabia ya baadhi ya madereva wa daladala kujisaidia haja ndogo kwenye chupa za vinywaji na kuzitupa hovyo Mitaani. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Taswira ya Habari baadhi ya wakazi hao…

5 Febuari 2021, 1:47 um

Ubovu wa miundombinu wachangia nauli kupanda Engusero

Na,Seleman Kodima, Dodoma. Ubovu wa miundombinu ya barabara katika Kata ya Engusero Wilayani Kiteto umewatia hofu wananchi kuhusu kupata huduma za kijamii wakati huu wa Msimu wa Mvua za Masika. Wakizungumza na Taswira ya Habari baadhi ya wanakijiji wa Kata…

4 Febuari 2021, 1:51 um

Ushirikiano mdogo wachochea vitendo vya ukatili

Na,Alfred Bulaya, Dodoma. Imeelezwa kuwa ushirikiano mdogo baina ya mamlaka zinazoshughulikia masuala ya ukatili kwa wanawake na watoto, ni moja ya chanzo cha kuongezeka matukio hayo hali inayodhohofisha jitihada za kukomesha vitendo hivyo. Hayo yamebainishwa na mratibu wa kamati ya…