Radio Tadio

Habari za Jumla

20 Machi 2021, 10:11

Simanzi na Vilio vyatanda jijini Dar es salaam

Na, Mariam Kasawa. Maelfu ya wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Awamu ya Tano pamoja na viongozi wastaafu wa Serikali zilizopita wamefika Uwanja wa Uhuru kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Rais…

19 Machi 2021, 13:04

Masumbwi wanawake kuahirisha mpambano.

Na, Mariam Kasawa. Pambano la  masumbwi kwa Wanawake Queen of the Ring (‘Malkia wa Ulingoni) limeahirishwa kupisha kipindi cha Maombolezo. Mratibu wa Habari wa wakala wa Michezo Nchini wa  Peaktime Joyce Mbogo amesema  wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo…

19 Machi 2021, 12:30

Wanawake wategemea ardhi kujipatia kipato

Na, Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa wanawake zaidi ya asilimia 50% wanategemea ardhi kwaajili ya kipato chao, Kauli hiyo imetolewa na Kamishna Ustawi wa jamii Dkt Naftali Ng’ondi jijini Dodoma wakati akifungua mkutano uliokuwa ukifanyika kwa njia ya mtandao ambao umehusisha…

19 Machi 2021, 06:32

Taasisi zisizo za kiserikali zamlilia Magufuli

Na, Alfred Bulahya. Taasisi isiyo ya Kiserikali ya MEFADA kwa kushirikiana na YCR (Youth and Community Rehabilitation) zinazojishughulisha na suala la kupambana na dawa za kulevya na ukimwi, imeitaka jamii kuendelea kuenzi mambo muhimu yaliyofanywa na aliyekuwa rais wa Jamhuri…

18 Machi 2021, 12:59

Wakazi wa Dodoma wayakumbuka mema ya Magufuli

Na , Yusuph Hans, Moja ya Alama Kuu aliyoiacha Rais wa Awamu ya tano Dkt John Pombe Magufuli hususan kwa wakazi wa  Mkoa wa Dodoma ni pamoja na kuhamishia shughuli zote za Kiserikali Mkoani hapa. Wakizungumza na Taswira ya habari…