Radio Tadio

Habari za Jumla

30 Machi 2021, 12:15

Dkt.Mpango apitishwa kuwa makamu wa rais bila kupingwa

Na,Mindi Joseph. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan amemteua Dk.Phillipo Mpango aliyekuwa waziri wa Fedha na Mipango  kuwa makamu wa Rais na kupitishwa na Bunge kwa asilimia 100. Jina la Mpango limesomwa Bungeni jijini Dodoma leo…

30 Machi 2021, 11:43

Shughuli ndogondogo ni chachu ya kujikwamua kwa walemavu

Na; Thadey Tesha Wito umetolewa kwa watu wenye ulemavu jijini hapa kujishughulisha na kazi mbalimbali zilizopo ndani ya uwezo wao ili kupunguza utegemezi katika jamii. Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi wa karakana ya watu wenye ulemavu Mkoani Dodoma…

29 Machi 2021, 7:54 um

Wafanyabiashara mjini wazidi kumulilia Jpm

Wafanyabiashara wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, wamlilia hayati Dkt John Pombe Magufuli huku wakidai kumuenzi kwa kufanya kazi. Wakizungumza wakiwa katika Soko la mnadani lililopo kata ya Nyampulukano wilayani Sengerema wafanya biashara hao wamesema kuwa katika kuendelea na maombolezo ya siku…

29 Machi 2021, 11:19

Idilo , Mpwapwa walia na ukosefu wa huduma ya Afya

Na,Mindi Joseph Wakazi wa kijiji cha Kisokwe wilayani Mpwapwa wapo mbioni kuepukana na adha ya kukosa huduma ya Afya kijijini hapo kutokana na ujenzi wa kituo cha Afya kukaribia kukamilika. Akizungumza na Dodoma Fm Diwani wa kata ya Mazae Mwl.…

29 Machi 2021, 06:00

Ripoti ya CAG yabaini madudu hati 98

Na; Mariam Kasawa. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere imeendelea kubaini dosari ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Taasisi na Mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa. CAG amesema kati ya hati…