Radio Tadio

Habari za Jumla

8 April 2021, 12:23 pm

Mnyama aina ya kima azua taharuki Geita

Na Mrisho Sadick Mnyama aina ya kima au mbega amezua taharuki katika Mtaa wa uwanja  mjini Geita baada ya kuingia katika makazi ya watu huku akiwa hajulikani ametoka wapi. Kima akiwa amejificha chooni Wakizungumza na Storm FM baadhi ya wakazi…

8 April 2021, 9:28 am

Marufuku ya vifungashio kufika tamati Kesho Aprili 9

Na; Mariam Matundu Ikiwa leo ni  siku ya mwisho ya kuwepo kwa vifungashio visivyokidhi viwango vya ubora sokoni ,vifungashio vipya vinavyokidhi viwango vya ubora tayari vimeanza kupatikana sokoni. Hayo yamezungumzwa na Afisa mazingira kutoka ofisi ya makamu wa rais muungano…

7 April 2021, 1:28 pm

Hotuba ya Rais Samia yawapa faraja wananchi

Na; Mindi Joseph Wakazi Mkoani Dodoma wamesema kupitia Hotuba ya Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliyoitoa jana wakati akiapisha viongozi mbalimbali wa kiserikali imewapa faraja na matumaini makubwa katika kutetea haki za wanyonge na…

7 April 2021, 10:45 am

Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan -Moropc.

Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Morogoro (MOROPC) kinampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuitaka Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kuvifungulia vyombo vyote vya Habari vilivyofungiwa na Serikali kwa Makosa mbalimbali.…

7 April 2021, 9:03 am

Nagulo Bahi wanafunzi kuanza masomo rasmi

Na ; Suleiman Kodima. Wananchi wa kijiji cha Nagulo Bahi kata ya Bahi wameupongeza Uongozi wa kata hiyo kwa hatua ya kukamilisha Ujenzi wa Sekondari na hatimaye wanafunzi kuanza Masomo Rasmi. Wakizungumza na Taswira ya Habari wananchi hao wamesema kuwa…

7 April 2021, 5:42 am

Rais kuhudhuria siku ya mashujaa (Karume day) Zanzibar

Na; Mariam Kasawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan jana tarehe 06 Aprili, 2021 aliwasili Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam ambapo atahudhuria maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) itakayofanyika katika Ofisi Kuu ya…