Habari za Jumla
18 May 2021, 6:03 pm
Wanyamapori waaribifu waendelea kuwatesa wananchi BUNDA
Wananchi wa migungani kata ya Bunda Stoo wilaya ya Bunda mkoani Mara wamelalamikia suala la wanyama pori waaribifu ikiwemo Tembo na Viboko kuwakatisha tamaa ya kujihusisha na kilimo Wakizungumza katika kikao cha diwani wa kata hiyo Flaviani chacha kilicholenga kusikiliza…
18 May 2021, 5:54 pm
Wananchi wamlalamikia mwenyekiti wa mtaa wao
Wananchi wa Mtaa wa Bulima Kata ya Seeke Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamemlalamikia mwenyekiti wa mtaa huo kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa wananchi hivyo wamemtaka kujiuzulu mara moja. Wakizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika mtaani hapo wananchi hao…
18 May 2021, 5:42 pm
Wananchi wa kata ya Hunyari Bunda kulipwa kifutajasho
Serikali kupitia wizara ya maliasili na utalii imetenga zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya kulipa kifuta jasho kwa wananchi waliofanyiwa uharibifu wa wanyamapori katika mashamba na makazi wanayoishi katika vijiji vitatu Mariwanda,Hunyari na Kihumbu vilivyopo Bunda Mkoani Mara…
18 May 2021, 5:32 pm
Dkt Yunge; aitaka jamii izingatie lishe bora
Mganga mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Dkt Nuru Yunge ameitaka jamii kuzingatia lishe bora ili kupunguza matatizo ya magonjwa Hayo yamesemwa na wakati akizungunza na watendaji wa kata 19 za Halmashauri ya Wilaya ya Bunda na kubainisha kuwa…
18 May 2021, 10:30
Waziri Mashimba Ndaki akabidhi viti na Meza Shule za Sekondari kwenye…
Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi mkoani Simiyu Mh, Mashimba Ndaki amekabidhi Viti na Meza kwa ajili ya wanafunzi vyenye thamani ya shilingi Milioni Kumi na nane ili kuondoa Changamoto ya Wanafunzi kukaa chini.…
May 17, 2021, 5:03 pm
ACT Wazalendo wakataa Matokeo Uchaguzi Buhigwe
Na; Albert Kavano Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Buhigwe kupitia chama cha ACT Wazalendo mkoani Kigoma Bw Garula Tanditse ameyakataa matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge uliompa ushindi Mgombea wa CCM Bw Felix Kavejuru kwa asilimia 83. Akizunguma na…
15 May 2021, 19:50
Mtenga: Nitachangia mifuko 100 ya saruji bakwata
Na Karim Faida. Waislam katika wilaya ya Mtwara wametakiwa kuonesha jitihada na kushirikiana katika ujenzi wa ofisi ya bakwata ya wilaya hiyo ili kuwapa Imani wanaotaka kusaidia kwenye ujenzi huo ambao bado haujaanza kutokana na ukata wa pesa. Hayo yamesemwa…
13 May 2021, 1:01 pm
Wilaya ya Kahama inakabiliwa na uhaba wa damu salama
Hospitali ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga inakabiliwa na uhaba wa damu salama huku wananchi wilayani humo wakiombwa kuendelea kujitokeza kuchangia damu. Hayo yamesema na mratibu wa damu salama hospitali ya Wilaya ya Kahama, God Abdallah amesema uhitaji wa damu…
13 May 2021, 10:25
DC Maswa awaasa madiwani kusimamia miradi ya Maendeleo inayotolewa na S…
Mkuu wa wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge amewataka Madiwani kusimamia Miradi na kufuatilia maendeleo inayotolewa na Serikali katika maeneo yao.. Kauli hiyo ameitoa wakati akitoa Salamu za Serikali katika kikao cha Baraza la Madiwani lililofanyika katika ukumbi wa …
11 May 2021, 13:24
Wananchi wapewa mbinu za kukabiliana na Tembo vamizi.
Wananchi wilayani Meatu Mkoani Simiyu wameaswa kushirikiana na wataalamu wa Wanyama pori ili kudhibiti Uharibifu unaofanywa na wanyama katika maeneo yanayozungukwa na Hifadhi za wanyama. Wito huo umetolewa na mwakilishi wa Mkurugenzi idara ya Wanyama Pori kutoka Wizara ya Maliasili …