Radio Tadio

Habari za Jumla

9 April 2021, 9:21 am

Wananchi waombwa kutoa ushirikiano ili kukomesha mwendokasi

Na; James Justine. Mamlaka ya udhibiti usafiri  ardhini LATRA imetoa ombi kwa wananchi kuendelea kutumia namba za simu zilizopo kwenye mabasi endapo dereva  ataendesha  gari kwa mwendo kasi wakiwa safarini. Taarifa hiyo imetolewa na afisa mfawidhi mamlaka ya udhibiti usafiri…

9 April 2021, 8:37 am

Nkonko wakomesha mimba shuleni, kwa kujenga bweni

Na; Seleman Kodima. Uongozi wa  Kijiji cha Nkonko kilichopo Wilayani Manyoni Mkoani Singida umefanikiwa kujenga bweni la wasichana katika Secondari ya Kijiji hicho ili kupunguza tatizo la mimba shuleni. Hayo yamesemwa na  Diwani wa Kata ya Nkonko Bw.Ezekiel Samwel ambapo…

8 April 2021, 4:52 pm

Ukeketaji bado ni tishio kwa mabinti

Moja kati ya mila na desturi za Wakurya  mkoani Mara ilikuwa ni ukeketaji kwa kiasi kikubwa madhara ya ukeketaji yalikuwa hayafichuliwi  kutokana unyeti wa suala hilo. Rhoda Komanchi mkazi wa Bunda Balili anaeleza kuhusu hatari iliyotokea kwa watoto wake wawili…

8 April 2021, 12:44 pm

TCCIA Mtwara kufanya uchaguzi leo

Mwenyekiti wa Chama cha wafanyabiashara, Viwanda na kilimo TCCIA mkoa wa Mtwara Swallah Said Swallah amesema hotuba ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasan imerudisha matumaini kwa wakulima, Wafanyabiashara, na wenye viwanda mkoani hapa. Amesema…