Radio Tadio

Habari za Jumla

27 Aprili 2021, 9:21 mu

Wananchi waomba kupatiwa elimu juu ya katiba

NA; Shani  Nicoalus                Wananchi jijini Dodoma wametoa wito wa kupatiwa elimu juu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutokana na kutoifahamu ipasavyo. Hatua hii imefikiwa baada ya hivi karibuni Halmashauri kuu ya Chama cha…

27 Aprili 2021, 6:22 mu

Nagulo Bahi Zahanati bado kizungumkuti

Na; Seleman Kodima. wakazi wa Nagulo Bahi wamelalamikia kukosa huduma ya Afya kijijini hapo hali inayopelekea kutembea umbali mrefu kwenda kutafuta huduma ya Afya. Wananchi hao wameelezea jinsi walivyo jitahidi kufanya juhudi ili wapate kituo cha Afya kijijini hapo lakini…

27 Aprili 2021, 6:10 mu

Tanzania yaadhimisha miaka 57 ya muungano

Na,Mariam Matundu. Ikiwa Tanzania imeadhimisha miaka 57 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ,imeelezwa kuwa changamoto 15 kati ya 25 za muungano zimetatuliwa . Hayo yameelezwa na Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango wakati akifungua kongamano la maadhimisho ya miaka…

27 Aprili 2021, 6:05 mu

Milion 80 kujenga madarasa manne kata ya Bunda stoo

Diwani wa kata ya bunda stoo Flaviani Chacha  amewapongeza wadau wa maendeleo kwa kuendelea kujitolea katika kuisaidia serikali kutatua kero za wananchi Akizungumza na Redio Mazingira Fm April ,22/ 2021 Flavian amesema amepokea shilingi milion 80 kutoka kwa wadau wa…

26 Aprili 2021, 8:57 mu

Waziri Aweso azinguana na watumishi 8 wa maji Mwanza

Waziri wa maji Jumaa aweso ameangiza kuwekwa ndani watumishi saba wa maji mkoa wa Mwanza kufatia kuwepo na utekelezaji mbovu wa miradi ya maji wilayani Sengerema. Waziri aweso amefikia uamzi huo baada ya kukuta miradi mingi ya maji haijakairika wilayani…

24 Aprili 2021, 16:07 um

Mtwara ipo salama dhidi ya Kimbunga “Jobo”

Na Karim Faida Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania TMA imetangaza uwepo wa kimbunga jobo katika bahari ya Hindi, Baada ya kupokea taarifa hiyo kumekuwa na watu wanaosambaza taarifa kwenye mitandao kwamba kimbunga hicho tayari kimeshafika katika mkoa wa Mtwara.…

24 Aprili 2021, 06:33 mu

Mwenendo wa Kimbunga “JOBO”

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi. Kimbunga Jobo kimeendelea kusogea kuelekea maeneo ya pwani ya nchi yetu ambapo kutokana na taarifa za uchambuzi zilizofanywa na Mamlaka kimbunga…