Radio Tadio

Habari za Jumla

30 Januari 2022, 1:51 um

Epuka uchafu wa Mazingira Kilosa -M/kiti Chabu.

Wito umetolewa kwa jamii Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro kujenga tabia ya kushiriki kufanya usafi wa Mazingira na kupanda miti kwa ajili ya kuepuka magojwa ya mlipuko na kutunza Mazingira Wilayani humo . Wito huo umetolewa Januari 29 mwaka huu na…

29 Januari 2022, 6:48 um

Tembo waharibu Ekari 50 za mahindi na mtama

Takribani ekari 50 za mahindi na 10 za pamba kata ya bunda stoo halmashauri ya mji wa bunda zimeliwa na tembo usiku wa kuamkia tarehe 28 jan 2022 Hayo yamesemwa na Afisa kilimo wa kata ya Bunda stoo Mboji Shibole…

29 Januari 2022, 7:26 mu

Jamii ijitokeza kupata matibabu ugonjwa wa Ukoma

RUNGWE-MBEYA Jamii imetakiwa kujitokeza kupata matibabu pindi waonapo dalili za ugonjwa wa Ukoma hali itakayosaidia kuzuia maambukizi kwa wengine. Rai hiyo imetolewa na Mratibu wa kifua kikuu na Ukoma wilayani Rungwe Daktari Emmanuel Asukile alipokuwa akizungumzia kuelekea maadhimisho ya siku…

27 Januari 2022, 6:58 mu

Abiria watoe taarifa kuepusha ajali barabarani

RUNGWE-MBEYA Tabia za kibinadamu zimepelekea kuongezeka kwa ajali barabarani kote nchini  hadi kufikia asilimia 76% kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa hivi karibuni na jeshi la polisi. Akizungumza na Radio cha FM kupitia kipindi cha Amka na Chai Mkuu wa kikosi…

26 Januari 2022, 8:50 mu

Wananchi waitumie wiki ya sheria kupata msaada wa kisheria

RUNGWE-MBEYA Kuelekea kilele cha wiki ya sheria nchini mahakama wilayani Rungwe imewataka wananchi kujitokeza katika maeneo ambayo zoezi la utoaji elimu litakuwa likifanyika . Akizungumza na Radio Chai Kaimu Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Rungwe Bw.Augustine Lugome amesema  utaratibu huu …