Radio Tadio

Habari za Jumla

4 April 2021, 8:54 pm

Makamu wa rais atoa maagizo mazito kwa TRA Nchin

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amewataka Watumishi wote wa Umma na Watanzania kufanya kazi kwa Bidii, Uadilifu na weledi pamoja na  kumtanguliza Mwenyezi Mungu. Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango ameyasema…

3 April 2021, 8:34 am

SERIKALI YASITISHA BEI MPYA ZA VIFURUSHI VYA INTANETI

Kufatia malalamiko ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya Internet Nchini,baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Uamuzi huo ni habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya simu…

2 April 2021, 5:27 pm

Billioni 1 kujenga makao makuu ya halmashauri.

Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imepokea kiasi cha pesa za KitanzaniaTsh. Billioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu ya halmashauri hiyo. Taarifa ya kupokea pesa hizo imetolewa katika kikao cha baraza la madiwani kwenye kikao cha…

2 April 2021, 4:52 pm

Dallo- watumishi acheni kutumia neno mchakato

Katibu wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Bunda mkoani Mara Ramamdhani Dallo amewataka watumishi wa umma na wakuu wa idara halmasauri ya wilaya ya Bunda kuacha mara moja kutumia neno mchakato na badala yake wajielekeze katika kutekeleza miradi ya…

2 April 2021, 12:46 pm

Wafanyabiashara wahimizwa kulipa kodi bila shurti

Na; Shani Nicolous Wito umetolewa kwa wafanyabiashara nchini kulipa kodi bila kushurutishwa ili kukuza uchumi wa nchi. Ushauri huo umetolewa ikiwa ni siku moja baada ya agizo alilotoa rais Mh.Samia Suluhu Hassan juu ya kutumiwa kwa njia sahihi za sahihi…

2 April 2021, 11:53 am

Elimu bei elekezi ya vifurushi kizungumkuti.

Leo kanuni ndogo za gharama na tozo za vifurushi, utangazaji wa huduma na ofa maalumu imeanza kutumika Nchini ambapo wadau wameomba elimu izidi kutolewa juu ya kanuni hiyo mpya. Mwanzoni mwa mwezi uliopita, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania…

2 April 2021, 9:46 am

Watanzania wahimizwa kutumia lugha ya kiswahili

Na; Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa kiswahili ni moja ya lugha iliyo enea katika Mataifa ya Afrika kutokana na jitihada mbalimbali zilizo fanyika katika kukuza lugha hiyo. Hayo yamesema na Kaimu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Tanzania BAKITA Bi. Consolata Mushi…