Radio Tadio

Habari za Jumla

30 Januari 2026, 11:23 mu

Wanawake wenye ulemavu wainua sauti,saini itifaki ya Afrika

Na Mary Julius. Wanachama wa vikundi vya wanawake wenye ulemavu Kusini Unguja WUKU wametakiwa kutumia ipasavyo mafunzo waliyoyapata kupitia mradi wa kuwezesha utetezi wa haki za wanawake wenye ulemavu, na kuunga mkono kusainiwa kwa itifaki ya afrika kuhusu  haki za…

27 Januari 2026, 2:46 um

Sekta binafsi yahimizwa kusaidia kuokoa maisha kupitia uchangiaji damu

Na Mary Julius. Balozi wa Utalii Zanzibar, Lois Inninger, amezitaka kampuni binafsi zinazofanya shughuli zake hapa nchini kurudisha kwa jamii sehemu ya faida wanazozipata, kwa kuchangia misaada mbalimbali itakayosaidia kuboresha ustawi wa jamii, hususan katika sekta ya afya.  Balozi Inninger…

Januari 27, 2026, 2:15 mu

Kabanga yawaita wananchi Kasulu kupata huduma za kibingwa

Wananchi waeleza furaha ya huduma za madaktari katika hospitali ya Rufaa Kabanga iliyopo wilayani Kasulu na kupongeza uongozi kwa kuendelea kuwaborishea huduma za afya. Na; Sharifat Shinji Hospitali ya Rufaa Kabanga iliyopo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imewaomba wananchi kujitokeza…

14 Januari 2026, 5:47 mu

Serikali ya mtaa wa Mpanda hotel yajipanga kutengeneza madawati

Madawati mabovu yaliyopo katika shule ya msingi Mpanda. Picha na Rhoda Elias “Tayari tumeshawaelekeza mafundi wamekuja na kufanya tathimini yao” Na Rhoda Elias Serikali ya mtaa wa Mpanda hotel imefanya ziara  katika shule ya msingi Mpanda  iliyopo manispaa ya Mpanda…

10 Januari 2026, 3:41 um

Mkombozi Paralegal watoa elimu ya ukatili Katavi

Afisa maendeleo akitoa elimu kwa wananchi. Picha na Anna Milanzi “Tunawajengea uwezo kamati hizo kwa kuziimarisha” Na Anna Milanzi Taasisi ya Mkombozi Paralegal iliyopo mkoani Katavi imeendelea kuwawezesha wananchi kupata elimu ya masuala ya ukatili wa kijinsia na kuwawezesha kutambua…

Januari 9, 2026, 10:26 mu

Serikali yaahidi kuiboresha DIT

Kwa malengo ya kuongeza ubora wa taaluma Na Devi Moses SERIKALI imeahidi kuendelea kuboresha na kuendeleza Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam(DIT) Kampasi ya Songwe ili kuongeza ubora wa mafunzo ya ufundi nchini. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,…