Radio Tadio

Habari

15 January 2025, 10:11 pm

Jamii yaaswa kula mboga za majani kuepuka magonjwa

Kwa sababu mboga za majani zina madini mbalimbali yanayosaidia katika kuimarisha afya kwa ujumla. Na Emmanuel Kamangu Jamii katika halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma imeshauriwa kujenga tabia ya kula mbogamboja za majani kwa ajili ya kuimalisha mfumo wa…

12 October 2024, 4:23 pm

DC Sengerema aongoza wananchi kujiandikisha kushiriki uchaguzi

Serkali kupitia TAMISEMI imetangaza siku kumi za wananchi kujiandikisha kwenye daftari la makazi kwa ajili ya kushiriki uchaguzi serkali za mitaa mwezi november mwaka huu. Na.Emmanuel Twimanye Wananachi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kuendelea kujitokeza  kujiandikisha katika Daftari la makazi…

27 September 2024, 6:31 pm

Polisi Sengerema wanolewa uchaguzi serikali za mitaa

Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Sengerema ameendelea kutoa elimu ya uchaguzi wa serkali za mitaa kwa makundi mbalimbali katika jamii,uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Nov 27 mwaka huu nchini Tanzania. Na:Elisha Magege Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Sengerema Haji Juma…

26 September 2024, 8:54 pm

Kipindi maalum kuelekea uchaguzi serikali za mitaa Buchosa

Wananchi Halmashauri ya Buchosa wametakiwa kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika November 27 mwaka huu nchini. Hayo yamebainishwa na msimamizi wa uchaguzi halmashauri hiyo Bwn. Benson Mihayo, ambapo amesema kuwa…

26 September 2024, 3:50 pm

Watakiwa kujitokeza kugombea uongozi serikali za mitaa

Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Sengerema amewataka wananchi kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, kwa ajili ya uchaguzi wa serkali za mitaa mwezi Novemba mwaka huu. Na:Tumain John Wananchi Halmashauri ya Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kujitokeza kuchukua fomu za kugombea…

19 September 2024, 1:38 pm

UWT Sengerema wapata mwenyekiti mpya

Jumuiya ya umoja wa wanawake CCM (UWT) Wilaya ya Sengerema imefanya uchaguzi wa kumpata mwenyekiti mpya kufuatia kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Jane Msoga aliyefariki Dunia April 30, 2024 wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Mkoa wa Mwanza, Sekou…