Elimu
10 May 2022, 3:44 pm
Ujenzi wa madarasa kata ya Suruke wakamilika
Na;Mindi Joseph. Ujenzi wa madarasa mawili ya shule ya Msingi Mluwa na sekondari Mto Bubu Kata ya Suruke Wilayani Kondoa yamekamilika baada ya kupata mgao wa shilingi milioni 182 za ujenzi wa madarasa hayo katika kuendelea kuboresha miundombini ya elimu.…
5 May 2022, 7:40 am
Elimu ya mipaka itolewe kwa viongozi wa mitaa
Na;Yussuph Hassan. Elimu ya mipaka ya ardhi katika kipindi cha Sensa ya watu na makazi imetajwa kuwa muhimu katika kuhakikisha kila eneo linafahamu kwa kina mipaka yake. Akizungumza na kituo hiki Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nzije Jijini hapa…
27 April 2022, 12:34 pm
Wadau watakiwa kuibeba sekta ya elimu kwa wenye uhitaji
Mkurugenzi wa Shule za Paradise na Patrick Mission ambaye ni mdau wa maendeleo Mkoa wa Mbeya ,Ndele Mwaselela ameguswa kusaidia wanafunzi wenye uhitaji wapate elimu na kufungua milango ili wadau wengine waweze kujitokeza kusaidia wanafunzi wenye uhitaji . Amesema kumekuwa…
January 5, 2022, 11:49 am
POLISI KAHAMA: Watembea kwa Miguu acheni Madoido kwenye vivuko vya Pundamilia.
Jeshi la polisi kitengo cha usalama Barabarani Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga limewataka watembea kwa miguu kuheshimu alama za barabarani wakati wa kuvuka hasa eneo la pundamilia na kuacha tabia ya kutembea kwa mizaha eneo hilo. Wito huo umetolewa leo…