Radio Tadio

Elimu

16 Septemba 2022, 4:43 mu

Zaidi ya Wanafunzi 5,000 Kusomea Chini Kata ya Shanwe

MPANDA Zaidi ya wanafunzi  5000 katika  Kata ya Shanwe manispaa ya Mpanda mkoani katavi  hawana sehemu ya  kusomea hali ambayo inapelekea kusomea nje. Akizungumza na Mpanda Redio FM Diwani wa Kata ya Shanwe Masumbuko Makolo kolo amesema kuwa shule zilizopo…

16 Septemba 2022, 4:28 mu

Wananchi Waaswa Kufichua Vitendo vya Kiharifu

KATAVI Wananchi mkoani Katavi wamepaswa kufichua  na kushiriki katika kutoa taarifa na vitendo vya kiharifu ili kukomesha  vitendo hivyo. Hayo yamesemwa na Inspekta Kelvin Fuime  kutoka ofisi ya Kamanda wa Polisi  Mkoa Dawati la Jinsia, ambapo amesema ni wajibu wa…

16 Septemba 2022, 4:07 mu

Watembea kwa Miguu Walia na Waendesha Vyombo vya Moto

MPANDA Baadhi ya watembea kwa miguu katika manispaa ya  mpanda mkoani katavi wamewalalamikia madereva wa vyombo vya moto kutozingatia sheria na alama za usalama barabarani pindi wanapoendesha. Wakizungumza na mpanda redio fm wananchi hao wameeleza kuwa wanakutana na changamoto ya …

10 Septemba 2022, 9:26 mu

TOZO ya miamala ya simu yasaidia upatikanaji wa madarasa

RUNGWE-MBEYA Kupitia TOZO ya miamala ya simu, Serikali imetoa jumla ya shilingi Million 12.5 kwa ajili ya ukamilishaji wa chumba Cha darasa katika shule ya Sekondari Ndembela one iliyopo kata ya Makandana. Aidha Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe imetoa kiasi…

5 Septemba 2022, 11:08 mu

Wananchi Wa Ivungwe Walilia Shule Shikizi

IVUNGWE Wananchi wa Kitongoji cha Ivungwe A kijiji cha Kasokola wameulalamikia uongozi wa serikali ya kijiji kwa kushindwa kuendeleza Mpango wa kujenga shule shikizi katika kitongoji hicho licha ya kuchanga pesa na kufyatua tofali. Wakizungumza na Mpanda radio fm wananchi…

2 Agosti 2022, 15:08

Makarani na Wasimamizi 409 wa Sensa Wapigwa msasa

Jumla ya watu 409 waliopita kwenye usaili wa kusimamia zoezi la sensa ambao ni makarani,wasimamizi wa maudhui na TEHAMA wameanza kupigwa msasa kwa kupewa mafunzo juu ya ukusanyaji sahihi wa takwimu za watu na makazi wakati wa sensa itakayofanyika tarehe…

28 Juni 2022, 08:43

Chigongwe walalamikia ukosefu wa nyumba za walimu

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Chigongwe jijini Dodoma wamelalamikia ukosefu wa nyumba za walimu pamoja idadi ndogo ya walimu katika shule ya msingi Ngh’ambala. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa changamoto ni idadi…

8 Juni 2022, 3:41 um

MADARASA NA MADAWATI BADO CHANGAMOTO KATA YA KASOKOLA

Kata ya kasokola iliyopo manispaa ya mpanda inakabiliwa na upungufu wa miundo mbinu wa madarasa na madawati katika shule za msingi na sekondari. akizungumza  na Mpanda radio fm katika kipindi Cha kumekucha Tanzania Diwani wa kasokola  Crisant  Andrea Mwanawima amesema…