Elimu
18 Febuari 2026, 1:28 um
Lwamgasa Farmers Amcos waendesha harambee ununuzi wa trekta
Chama cha ushirika kimekuwa na fursa mbalimbali ya kuwaunganisha wakulima katika kujadili na kufanya mambo ya kuleta tija kwenye kilimo. Na: Kale Chongela Chama cha ushirika cha Lwamgasa Farmers Amocos Limited kilichopo wilaya ya Geita mkoani Geita kimefanya harambe kwa ajili…
12 Febuari 2026, 9:01 um
Ifakara hainufaiki na kiwanda cha sukari Kilombero
“Wakulima wengi wameamua kutoa zao la muwa na kupanda mpunga kutokana na kupungua kwa bei ambapo kipindi cha nyuma walikuwa wakiuza gari moja la miwa Tsh Mil.3 lakini kwa sasa gari hilo linauzwa hadi chini ya Laki 8” Na Katalina…
3 Febuari 2026, 2:06 mu
Mbinu zinazochangia upotevu wa mazao shambani
Kila msimu wa mavuno unapofika, mashamba mengi vijijini hujaa tabasamu na matumaini ya maisha bora, lakini nyuma ya furaha hiyo kuna ukweli usioonekana kirahisi. Jasho la mkulima la miezi mingi mara nyingi huishia kupotea shambani, si kwa sababu ya ukame…
9 Januari 2026, 4:37 um
Mpango wa chakula kila shule Nyang’hwale umetiki
Zaidi ya wanafunzi 5,700 kutoka shule saba za msingi na shule moja ya sekondari ndio wanufaika wa moja kwa moja wa mpango huo. Na Mrisho Sadick: Kata ya Shabaka wilayani Nyang’hwale mkoani Geita imelima jumla ya ekari 41 za mahindi…
29 Oktoba 2025, 10:49 mu
DC Kiteto ajitokeza kupiga Kura
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Remidius Mwema, amesema hali ya usalama katika wilaya yake imeimarika katika vituo vyote vya kupigia kura na kuwataka wananchi kuendelea kujitokeza kupiga kura Ili wawachague viongozi wanaowataka. Na Mzidalfa Zaid Mwema amesema hayo wilayani Kiteto…
27 Oktoba 2025, 10:20 mu
Viongozi wa kimila na viongozi wa dini kushiriki uchaguzi mkuu 2025
Wilaya ya babati imeimarisha ulinzi katika kata zote za mkoa wa Manyara na hawatomfumbia macho mtu yeyote atakayeleta fujo siku ya uchaguzi” Mh Emmanuela Kaganda Na Mzidalfa Zaid Wazee wa kimila, Machifu, Malaigwanani, na viongozi wa dini wa kata ya…
22 Oktoba 2025, 3:09 um
Ushiriki wa wanawake kupiga kura october 29
Zikiwa zimebaki siku chache Tanzania kufanya uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani, baadhi ya wanawake mkoani Manyara wameonekana kuwa mstari wa mbele kushiriki uchaguzi mkuu na kuwachagua viongozi wanaowataka. Na Mzidalfa Zaid, Hawa Rashid Fm Manyara imekuandalia makala…
21 Oktoba 2025, 5:30 um
Ruksa kupiga kura waliopoteza kadi
Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Babati mjini Simon Mumbee ametoa elimu ya upigaji kura kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika october 29 mwaka huu, ambapo amewataka wananchi kufika kwenye vituo vya kupigia kura kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa…
21 Oktoba 2025, 4:52 um
Ole wao watakaofanya fujo october 29 –RC Sendiga
Mkuu wa mkoa wa manyara, Queen Sendiga, amewaonya wananchi mkoani Manyara kuepuka vitendo vyovyote vinayoashiria vurugu, uchochezi au uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 29 mwaka huu. Na Mzidalfa Zaid Sendiga ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza na…
20 Oktoba 2025, 4:35 um
Wananchi Babati watakiwa kujitokeza kupiga kura October 29
Mkuu wa wilaya ya babati Emmanuela kaganda amewataka wananchi kujitokeza October 29 kupiga kura na kumchagua Kiongozi wanaemtaka atakaeleta maendeleo amani na utulivu. Na Mzidalfa Zaid Kaganda ametoa kauli hiyo Leo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, amesema…