Radio Tadio

Elimu

03/03/2026, 23:13

Arusha kuadhimisha siku ya wanawake duniani Machi 05

Wananchi wa jiji la Arusha wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yatakayofanyika kimkoa siku ya Machi 05/2026 katika viwanja vya Ngarenaro mkoani Arusha. Na Mariam Mallya Akizungumza katika Studio za Savvy FM Mratibu wa jinsia…

18/02/2026, 13:28

Lwamgasa Farmers Amcos waendesha harambee ununuzi wa trekta

Chama cha ushirika kimekuwa na fursa mbalimbali ya kuwaunganisha wakulima katika kujadili na kufanya mambo ya kuleta tija kwenye kilimo. Na: Kale Chongela Chama cha ushirika cha Lwamgasa Farmers Amocos Limited kilichopo wilaya ya Geita mkoani Geita kimefanya harambe kwa  ajili…

3 Febuari 2026, 2:06 mu

Mbinu zinazochangia upotevu wa mazao shambani

Kila msimu wa mavuno unapofika, mashamba mengi vijijini hujaa tabasamu na matumaini ya maisha bora, lakini nyuma ya furaha hiyo kuna ukweli usioonekana kirahisi. Jasho la mkulima la miezi mingi mara nyingi huishia kupotea shambani, si kwa sababu ya ukame…

09/01/2026, 16:37

Mpango wa chakula kila shule Nyang’hwale umetiki

Zaidi ya wanafunzi 5,700 kutoka shule saba za msingi na shule moja ya sekondari ndio wanufaika wa moja kwa moja wa mpango huo. Na Mrisho Sadick: Kata ya Shabaka wilayani Nyang’hwale mkoani Geita imelima jumla ya ekari 41 za mahindi…

29/10/2025, 10:49

DC Kiteto ajitokeza kupiga Kura

Mkuu wa wilaya ya Kiteto Remidius Mwema, amesema hali ya usalama katika wilaya yake imeimarika katika vituo vyote vya kupigia kura na kuwataka wananchi kuendelea kujitokeza kupiga kura Ili wawachague viongozi wanaowataka. Na Mzidalfa Zaid Mwema amesema hayo wilayani Kiteto…

22/10/2025, 15:09

Ushiriki wa wanawake kupiga kura october 29

Zikiwa zimebaki siku chache Tanzania kufanya uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani, baadhi ya wanawake mkoani Manyara wameonekana kuwa mstari wa mbele kushiriki uchaguzi mkuu na kuwachagua viongozi wanaowataka. Na Mzidalfa Zaid, Hawa Rashid Fm Manyara imekuandalia makala…

21/10/2025, 17:30

Ruksa kupiga kura waliopoteza kadi

Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Babati mjini Simon Mumbee ametoa elimu ya upigaji kura kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika october 29 mwaka huu, ambapo amewataka wananchi kufika kwenye vituo vya kupigia kura kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa…

21/10/2025, 16:52

Ole wao watakaofanya fujo october 29 –RC Sendiga

Mkuu wa mkoa wa manyara, Queen Sendiga, amewaonya wananchi mkoani Manyara  kuepuka vitendo vyovyote vinayoashiria  vurugu, uchochezi au uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 29 mwaka huu. Na Mzidalfa Zaid Sendiga ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza na…