Burudani
16 Januari 2025, 13:40 um
INEC yafanya mkutano na wadau wa uchaguzi Mkoani Mtwara
Huu ni mkutano uliohusu mada kuu ya maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa wadau katika mkoa wa Mtwara uliohusisha viongozi wa vyama vya siasa, asasi za kiraia, makundi maalum, kamati za ulinzi na usalama, wahariri…
7 Januari 2025, 12:15 um
TADIO yawanoa wanahabari Jamii FM Mtwara
Mafunzo haya yametolewa na jukwaa la redio za kijamii Tanzania (radio tadio) kwa lengo la kuwakumbusha waandishi wa habari na watangazaji kufanya kazi kwa kufuata madili ya uandishi wa habari katika kazi zao hasa wakati wa uchaguzi mkuu. Na Musa…
18 Disemba 2024, 12:24 um
Wezi waiba kwenye maduka zaidi ya 11 Bunda
“Wametoboa signboard wamekunywa soda maganda wametupa hapo chini walinzi walikuwa nje hawakujua kilichokuwa kikiendelea“. Na Adelinus Banenwa Ni katika hali isiyo ya kawaida wezi waiba zaidi ya maduka 11 eneo la Genge la jioni mtaa wa Posta kata ya Bunda…
17 Disemba 2024, 15:14
Wahitimu vyuo vya Biblia watakiwa kuwa mstari wa mbele kuhamasisha amani nchini
Inawezekana ulikuwa unafahamu kuwa elimu ya kawaida ndiyo inapata nafasi ya kufanyiwa mahafali tu,sasa unapaswa kujua kuwa hata elimu ya Kiroho nayo inafanyiwa mahafali. Na Deus Mellah Wachungaji wanaohitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali vya Biblia katika ngazi mbalimbali wametakiwa…
15 Disemba 2024, 11:24 mu
Namtumbuka atahadharisha matumizi mihuri kinyume na utaratibu
Ni kikao kazi kilichoitishwa na Diwani wa kata ya Namtumbuka Al-haji Salumu Lipwelele kwa viongozi wa vijiji waliochaguliwa hivi karibuni chenye lengo la kufahamiana na wakuu wa idara waliopo katika kata ya Namtumbuka ili kurahisisha katika utekelezaji wa majuku yao.…
12 Disemba 2024, 13:44 um
Mwenyekiti CCM Mtwara Vijijini awataka wenyeviti wa vijiji kuwatumikia Wananchi
Hii ilikuwa sherehe za kumpongeza Mwenyekiti wa Kijiji cha Nyengedi Bi Lukia Mnyachi baada ya kuchaguliwa na Wananchi katika nafasi hiyo. Na Tatu Mshamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mtwara Vijijini, Nashiri Pontiya,amewataka wenyeviti wa vijiji waliochaguliwa kupitia chama…
6 Disemba 2024, 19:11
Wazazi watakiwa kutowaozesha wanafunzi badala yake wawaendeleze kielimu
Kutokana na baadhi ya watoto kushindwa kufanya vizuri katika masomo yao katika ngazi ya Elimu ya msingi na sekondari wazazi waazwa kuto kuwaozesha bari wawapatie nafasi ya kwenda kusomea fani mbalimbli katika vyuo vya kati na vyuo vikuu. Na Hobokela…
3 Disemba 2024, 06:48
CBE yapongezwa na serikali kutoa Elimu bora ya uchumi
Katika kuhakikisha vyuo vinaendelea kutoa Elimu bora Naibu Waziri wa viwanda na biashara Mheshimiwa Exaud Kigahe amepongeza juhudi zinazo fanywa na wakufunzi wa chuo cha elimu ya biashara nchini CBE. Na Kelvin Lameck Serikali imesema inatambua na kuthamini mchango wa…
30 Novemba 2024, 08:18 mu
Viongozi wa vijiji Mtwara DC wasisitizwa kusimamia miradi ya maendeleo kwa uwazi
Huu ni uapisho uliohusisha viongozi wa serikali za vijiji kutoka katika tarafa ya Mpapura inayounganisha kata ya Kitere,Libobe,Mpapura, na Ndumbwe . Na Musa Mtepa Aliyekuwa Afisa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Afisa Ardhi wa Halmashauri ya…
27 Novemba 2024, 15:00 um
Wagombea wanawake Mtwara waelezea sababu za kugombea nafasi za uongozi
Huu ni uchaguzi wa serikali za mitaa wenye lengo la kuwapata viongozi wa mitaa,vijiji na vitongoji ambapo siku ya November 27, 2024, ndio utakuwa unafanyika ambapo kwa kipindi cha kunazia November 20 hadi 26,2024 kilikuwa kipindi cha kampeni kwa wagombea…