Radio Tadio

Burudani

8 June 2025, 2:57 pm

Wananchi wafunguka ujenzi stendi mpya Geita

Baada ya kusota kwa miaka mingi hatimaye wakazi wa Geita mjini wanakwenda kupata stendi mpya ya kisasa ya mabasi. Na Mrisho Sadick: Watumiaji wa kituo kikuu cha mabasi ya abiria Mkoa wa Geita wameishukuru serikali kwa kutoa fedha kiasi cha…

8 May 2025, 13:56

Kilio kisichosikika utelekezaji watoto Kigoma

Kwa mujibu wa Takwimu za Ofisi ya Ustawi wa Jamii, kati ya mwezi March hadi April mwaka 2025 pekee kuna zaidi ya watoto 150 walitelekezwa katika Wilaya ya Kigoma. Hii leo wengi wa watoto hawa wanaishi mtaani, hawawajui wazazi wao…

24 April 2025, 6:40 pm

Jela miaka 30, fidia laki mbili kwa kuzini na mwanae wa damu

“Nafikiri bado kuna kila sababu kwa mamlaka zilizopewa kutunga sheria kukaa tena chini kuziangalia upya hizi sheria zetu maana haiwezekani kila kukicha matukio ya ukatili wa kinjisia yanatokea licha ya wahusika kuhukumiwa kutumikia adhabu ya kifungo kama itawezekana adhabu ya…

22 April 2025, 9:45 am

Daniel akamatwa na nguzo ya wizi Nyantorotoro B

Licha ya serikali kutoa wito kwa wananchi kutunza miundombinu mbalimbali katika maeneo yote, bado baadhi ya wananchi wanahujumu miundombinu hiyo. Na: Kale Chongela: Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Daniel Robert mkazi wa mtaa wa Nyantorotoro A, kata ya Nyankumbu katika halmashauri…

13 April 2025, 1:56 pm

Ubovu wa barabara hospitali Katoro

Ubovu wa barabara ya kwenda katika hospitali ya Katoro wawaibua wananchi wa kata za Katoro na Ludete wawaibua wananchi Na Mrisho Sadick: Wakazi wa Kata ya Ludete mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani Geita wameiomba serikali kuchukua hatua za…