Biashara
18 June 2025, 15:36
Wakristo waaswa kushiriki na kuombea uchaguzi
Kuelekea uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi oktoba mwaka huu, Wakristo wametakiwa kuendelea kuombea amani na utulivu Na Hagai Ruyagila Waumini wa dini ya Kikristo wametakiwa kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa kuchukua fomu za kugombea nafasi…
26 May 2025, 16:32
Viongozi wa dini wahimizwa kuhubiri amani Nchini
Viongozi wa dini Nchini wamehimizwa kuendelea kuliombea Taifa hasa kipindi hiki cha uchaguzi Mkuu. Na Josephinr Kiravu Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini Kutumia majukwaa yao kuhimiza amani ikiwa ni pamoja na kusisitiza wananchi kushiriki katika…
26 May 2025, 16:18
Watakiwa kuliombea taifa kuelekea uchaguzi mkuu
Wakati Taifa likeelekea katika uchaguzi Mkuu, wakristo wameaswa kuendelea kuombea amani Na Hagai Ruyagila Waumini wa Dini ya Kikristo wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuliombea taifa kuelekea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi ocktoba mwaka huu ili ufanyike kwa amani na…
21 May 2025, 4:02 pm
Katakata ya umeme Simiyu yawaibua wananchi
‘‘Tunahitaji nishati ya umeme ya kutosha mahitaji yetu ni kweli juhudi ni kubwa sana zinazofanywa na kiongozi wetu mkuu wa nchi hii Rais ,Mhe,Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa kutosha ili waweze kuongeza uzalishaji mali na kujiongezea…
15 May 2025, 15:52
Baraza la madiwani lampongeza Rais Samia kwa uongozi wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa pongezi na kuchangiwa fedha kwa ajili kuchukua fomu ya kugombea Urais baada ya kazi yake iliyotukuka katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Na Hagai Ruyagila Baraza la Madiwani…
12 May 2025, 12:54
Askofu Joseph Mlola ahimiza amani, kuliombea Taifa
Viongozi wa dini na jamii wameaswa kuliombea Taifa dhidi ya matukio yanaendelea kwenye jamii ambayo yanaweza kuleta uvunjifu wa amani. Na Tryphone Odace Askofu wa Jimbo Katoliki la Kigoma Joseph Mlola amewataka waumini wa kanisa hilo na watanzania kwa ujumla…
30 April 2025, 14:40
Mawakala wa vyama vya siasa fuateni sheria uboreshaji daftari
Zoezi la uboreshaji wa daftari la mpiga kura awamu ya pili linatarajia kuanza mei mosi. Na Emmanuel Kamangu Mawakala wa vyama vya siasa wametakiwa kufuata sheria na taratibu katika vituo vya uandikishaji wakati wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la…
23 April 2025, 13:27 pm
Kipindi: Kampeni ya upandaji miti shule za sekondari Naliendele na Mangamba
Kampeni hii ya upandaji miti imefadhiliwa na wadau wa mazingira kutoka Finland kwa kushirikiana na Jamii FM Redio chini ya usimamizi wa mtaalam wa utafiti wa misitu Mzee Orestus Kinyero Na Musa Mtepa Afisa Mstaafu wa Utafiti wa Miti na…
23 March 2025, 15:39 pm
TMA Mtwara yahimiza wananchi kufuatilia utabiri wa hali ya hewa
Haya ni maadhimisho ya 75 tangu kuanzishwa kwa shirika la hali ya hewa Duniani mnamo March 23 ,1950 ambapo Tanzania ikiwa nchi mwanachama 193 wa WMO na kwa Mtwara mjini yameadhimishwa katika chuo cha kilimo cha MATI Naliendele Mtwara. Na…
13 March 2025, 21:19 pm
Mkuu wa Mkoa Mtwara, akabidhi msaada kwa waathirika wa Mafuriko
Msaada ulioletwa na Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na wadau umejumuisha vifaa mbalimbali ikiwemo unga wa sembe, dona, mchele, sukari, mafuta ya kupikia, sabuni za unga, chumvi, sabuni za kuogea, taulo za kike, magodoro, blanketi, vyandarua, nepi za kisasa (diapers),…