Biashara
12 May 2022, 1:03 pm
MKURABITA yaja na mpango kwa wafanyabiashara Rungwe
RUNGWE-MBEYA Mpango wa kurasimisha rasirimali na biashara Tanzania (MKURABITA) umekuja na mpango wenye lengo kuwawezesha wamiliki wote wenye biashara nje ya mfumo rasmi ili waweze kurasimishwa Wilayani Rungwe hali itakayo saidia kupata mitaji na kuendeleza shughuli zao za kiuchumi. Hayo…
12 January 2022, 2:34 pm
Mlowa bwawani waiomba serikali kuwajengea kituo cha polisi
Na; Neema Shirima. Wakazi wa kata ya Mlowa bwawani jijini Dodoma wameelezea ushiriki wao katika suala la ulinzi na usalama katika mtaa wao ambapo wamesema wanashiriki vema katika kuhakikisha hali ya ulinzi inakuwepo katika maeneo yao. Wakizungumza na taswira ya…
December 7, 2021, 4:32 pm
KAHAMA:Cherehani atoa Fedha za Mifuko 58 ya Saruji,kata ya Sabasabini Ushetu.
Wananchi wa Kitongoji cha Imalange kata ya Sabasabini Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wamemshukuru mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani kwa kutoa fedha kiasi cha shilingi Milioni moja na laki tatu kwa ajili ya kununua mifuko 58…
29 November 2021, 1:33 pm
Wizara ya Ulinzi imesema itaendelea kuhakikisha nchi inakuwa salama
Na; Mindi Joseph. Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga Taifa imesema itaendelea kuhakikisha kuwa mipaka ya nchi inakuwa salama huku akiwahimiza wananchi kushiriki kikamilifu katika ulinzi wa nchi. Akizungumza leo jijini Dodoma na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya…
2 April 2021, 11:31 am
Jeshi la Polisi laendelea kuimarisha ulinzi ndani ya Jiji la Dodoma
Na; Mindi Joseph. Jeshi la polisi Mkoani Dodoma limejipanga kuhakikisha linaimarisha ulinzi katika maeneo yote ya nyumba za ibaada ikiwa ni pamoja na kudhibiti uhalifu katika sikuku ya Pasaka. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dodoma Kamanda wa Jeshi…