Radio Tadio

Biashara

25 September 2025, 08:34

Zitto aendelea kuanika mikakati ya kuipaisha Kigoma

Chama cha ACT – Wazalendo kimeendelea na mikakati ya kuhakikisha kinatatua changamoto zinazowakabili wananchi wake. Na Tryphone Odace Mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo, mojawapo…

24 September 2025, 08:55

Zitto kuboresha barabara na soko kata ya Businde Kigoma

Chama cha ACT- Wazalendo kimesema kuwa kimedhamiria kuhakikisha kinaboresha maisha ya wananchi wa Kata ya Businde kwa kujenga barabara, Soko na kutatua changamoto zinazowakabili ili kata hiyo ionekane kama kata iliyopo ndani ya Manispaa Na Tryphone Odace Mgombea ubunge katika…

12 September 2025, 13:23

DC Kigoma awaita wananchi kumpokea Dkt. Samia

Mgombea Uras kupitia chama cha mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili Mkoani Kigoma kwa ajili kampeni za kuomba kura kwa wananchi Na Esperance Ramadhan Mkuu wa Wilaya Kigoma Dk. Rashid Chuachua amewataka wananchi wa Mkoa Kigoma kujitokeza kwa…

11 September 2025, 13:39

Wagombea vyama vya siasa waonywa kutovunja amani Kasulu

Wito umetolewa kwa wagombea kuhakikisha wanafanya kampeni za ustaarabu na kuheshimu kanuni na sheria za Nchi ili kuepuka kusababisha vurugu kwa Taifa Na Hagai Ruyagila Wagombea wa nafasi mbali mbali za uongozi katika wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wameshauriwa kuhakikisha…

8 September 2025, 12:36

CHAUMA yaahidi kuboresha huduma za afya na barabara Kigoma

Kampeni za uchaguzi Mkuu zikiwa zinaendelea vyama mbalimbali nchini vimeendelea kuzunguka kunadi sera na kueleza watakachokifanya iwapo watapewa nafasi ya kuongoza Na Sadik Kibwana Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA kimezindua kampeni zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kuomba…

8 September 2025, 09:38

Zitto Kabwe autaka ubunge Kigoma Mjini

Mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amewataka wapiga kura katika jimbo hilo kumpa kura nyingi za ndiyo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu ili aweze kurudi bungeni kuwatumikia…

4 September 2025, 15:27

DC Kasulu ataka wananchi kushiriki kampeni za uchaguzi

Serikali imewataka wananchi Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma kushiriki katika uchaguzi na kuwapata viongozi wataoweza kuwasaidia kutatua changamoto zao Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Kanal Isaac Mwakisu amewataka wananachi wa Wilaya hiyo kushiriki…

3 September 2025, 8:28 pm

Mwanamke atolewa uvimbe wa kilo 10 Iringa

Na Zainabu Mlimbila Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa imefanikiwa kufanya upasuaji na kutoa uvimbe wenye uzito wa kilo 10 uliokuwa unamsumbua mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 42 aliyeteseka kwa Zaidi ya miaki 5. Akizungumza mara baada ya kukamilika…

3 September 2025, 12:20

Wakristo watakiwa kuombea uchaguzi mkuu Kasulu

Wakati uchaguzi Mkuu ukitarajia kufanyika Oktoba 29, 2025, waumini wa kikristo wametakiwa kuendelea kuliombea amani Taifa ili uchaguzi ufanyike kwa amani na utulivu Na Hagai Ruyagila Waumini wa Dini ya Kikristo Wilayani Kasulu, Mkoani Kigoma, wametakiwa kushiriki kikamilifu katika maombi…