Biashara
7 January 2025, 4:48 pm
Wananchi Ihumwa watakiwa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi
Na Victor Chigwada.Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Kamishina msaidizi mwandamizi George Katabazi ametoa wito kwa wananchi wa Kata ya Ihumwa kuonyesha ushrikiano kwa jeshi la polisi kwa kutoa taarifa za wahalifuWito huo ameutoa wakati akizungumza na wananchi wa Kata…
7 January 2025, 12:41
Viongozi serikali za mitaa watakiwa kutatua changamoto za wananchi
Viongozi wa Serikali za mitaa katika Halmashauri ya mji wa Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kusimamia na kutatua changamoto za wananchi katika maeneo yao. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wenyeviti wa serikali za mitaa wa halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma…
10 December 2024, 12:15 pm
DC Kaminyoge aongoza wananchi wa Isageng’he kupanda miti
“Tanzania siyo kisiwa hivyo hatuwezi kujitenga katika vita ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kama ambavyo dunia inataka ikiwemo matumizi ya nishati safi ya kupikia na upandaji wa miti”. Na, Nicholaus Machunda Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi…
4 December 2024, 12:16
Katibu wa siasa uenezi na mafunzo CCM Kigoma atembelea mkurugenzi wa uchaguzi AD…
Siku chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka 2024, Katibu wa siasa, uenezi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma Deogratius Nsokolo amemtembelea Mwenyekiti wa kitongoji cha Mwandiga Kaskazini ambaye…
3 December 2024, 14:51
Wananchi watakiwa kutoa ushirikiano kwa viongozi wa mitaa Buhigwe
Halmashauri ya Wilaya Buhigwe Mkoani Kigoma kupitia kwa mkurugenzi amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa viongozi wa serikali za mitaa ili waweze kufanya kazi na kuchochea maendeleo ya wananchi na taifa kwa ujumla. Na Emmanuel Kamangu – Buhigwe Wananchi wa Wilaya…
2 December 2024, 12:44
Viongozi serikali za mitaa watakiwa kulinda amani na usalama
Viongozi waliochaguliwa katika uchaguzi wa Serikali za mitaa wametakiwa kuhakikisha wanalinda amani na usala katika maeneo yao. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Kanal Isaac Mwakisu amewataka viongozi wa serikali za vijiji na vitongoji…
25 November 2024, 14:27
Askofu Mlola awataka vijana kukemea rushwa Kigoma
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma Mhashamu Joseph Mlola amewataka vijana kuwa mstari mbele kukemea vitendo vya rushwa kwenye jamii hasa kipindi hiki cha uchaguzi wa Serikali za mitaa. Na Emmanuel Kamangu Vijana mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha wanakemea ruswa…
21 November 2024, 12:54
Mkandarasi akabidhiwa mkataba, ramani ya soko la Mwanga Kigoma
Mkandarasi anayetajaiwa kujenga soko la mwanga na mwalo wa Katonga Manispaa ya Kigoma Ujiji ametakiwa kuanza ujenzi wa miradi hiyo ili iweze kukamilika kwa wakati na ubora unaotakiwa. Na Lucas Hoha – Kigoma Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji Kisena…
21 November 2024, 10:04
CCM walia na migogoro ya ardhi, umeme Kigoma
Wakati kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa zikiwa zimenduliwa rasmi, viongozi wa chama cha mapinduzi wameomba serikali kuaidia kutatua changamoto za ukosefu wa umeme na migogoro ya ardhi. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu Serikali kupitia chama cha mapinduzi ccm…
21 November 2024, 09:36
Serikali yatenga fedha utatuzi wa changamoto ya umeme Kigoma
Serikali imesema tayari imekwisha tenga fedha za kuhakikisha inatatua changamoto zaukosefu wa umeme kwa wananchi wa mkoa wa Kigoma ili kuhakikisha umeme wa uhakika unakuwepo kupitia gridi ya Taifa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano…