Radio Tadio

Afya

16 February 2023, 6:06 am

Elimu Itolewe Juu ya Ugonjwa wa KifuaKikuu

MPANDA Serikali Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imetakiwa kuongeza juhudi za utoaji wa elimu ya ugonjwa wa Kifua Kikuu ili kuwapatia wananchi uelewa juu ya ugonjwa huo Hayo yamebainishwa na wananchi wa Manispaa ya Mpanda wakati wakizungumza na Mpanda Radio…

10 February 2023, 12:38 pm

Umuhimu wa Mjamzito Kujifungua Hospitalini

KATAVI Baadhi ya wananchi mkoani Katavi wameeleza umuhimu wa mama mjamzito kujifunguwa kwenye kituo cha afya. Wakizungumza na Mpanda radio Fm Wananchi hao wamesema mama mjamzito kujifungua nyumbani kunaweza kuleta hatari ya kupoteza uhai wa mama na mtoto. Kwa upande…

8 February 2023, 12:15 pm

Jumla ya Watu 222 Waugua Surua Mlele

KATAVIJumla ya visa 222 vya wagonjwa wa surua vimeripotiwa ndani ya siku 55 wilayani Mlele mkoani Katavi. Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko wakati wa kikao cha kujadili tathimini ya utekelezaji wa mkataba wa lishe, mkakati…

7 February 2023, 10:21 pm

MPANDA Baadhi ya kinamama wanaopata huduma ya matibabu katika kituo cha afya ilembo halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametoa pongezi kwa watoa huduma katika kituo hicho kwa kubainisha kuwa huduma zinazotolewa zinakidhi mahitaji . Wakizungumza na Mpanda Radio…

7 February 2023, 09:52

Hospitali ya Benjamini Mkapa imesaini makubaliano

Hospitali ya Benjamin Mkapa imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma za upasuaji wa moyo kwa watoto na shirika lisilo la kiserikali la children’s heart charity association la Nchini kuwait. Na Mindi Joseph. Hii ni kufuatia matatizo ya moyo kwa…

3 February 2023, 16:36

Tunashindwa kuelewa juu ya mfumo wa Bima ulivyo

Imeelezwa kuwa licha ya mikakati mbalimbali ya uboreshwaji wa huduma za afya bado wananchi wameendelea kulalamika huduma ya bima ya CHF iliyoboreshwa. Na Victor Chigwada Wananchi wa Kata ya Mlowa Barabarani wamesema kuwa wanashindwa kuelewa mfumo wa bima ulivyo ,kutokana…

3 February 2023, 12:14 pm

Zahanati Mnyawa mikononi mwa mkuu wa mkoa

Wameiomba serikali kusaidia ukamilishaji wa ujenzi wa kituo cha afya ili kuwapunguzia adha ya kujifungulia majumbani mwao. Na Hamza Ally Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas amemwagiza Mhandisi wa wilaya ya Tandahimba m kufanya tathmini ya gharama za…