Afya
23 Febuari 2023, 3:09 um
Rais Dr Samia atoa milioni 65 ujenzi wa zahanati
Na Elias Maganga Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzan imetoa fedha Milioni 65 kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya kata ya viwanja sitini katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara. Akizungumza na Pambazuko FM, ilipotembelea mradi huo hii leo…
22 Febuari 2023, 6:37 um
Elimu ya Ukimwi kwa Mama na Mtoto
MPANDA Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni yao jinsi mama aliye na maambukizi ya virusi vya ukimwi anavyoweza kumlinda mwanae asipate maambukizi hayo. Wakizungumza na mpanda radio fm wananchi hao wamesema kuwa mama anatakiwa kwenda…
22 Febuari 2023, 6:33 um
Wananchi Waaswa Kuchukua Tahadhari ya Surua
KATAVI Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa surua ulioibuka katika halmashauri ya mpimbwe mkoani katavi. Hayo yamesemwa na Dr solomon solomoni wakati akizungumza na Mpanda redio fm na kuainisha kuwa mlipuko wa surua unaathiri zaidi watoto chini ya…
22 Febuari 2023, 12:04 um
Tuhuma,Muuguzi Kutumia Sindano Iliyotumika
Kufuatia malalamiko kuhusu Mhudumu wa afya katika Zahanati ya Kijiji cha Tungamalenga,Johavina Mjuni anayedaiwa kutokuwa na huduma nzuri kwa wagonjwa. Na Hawa Mohammed. Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Iringa Limeagiza kufanyika uchunguzi wa haraka dhidi ya Mhudumu wa afya…
21 Febuari 2023, 3:40 um
Ujenzi wa zahanati kukamilika hivi karibuni
Na Elias Maganga Mwenyekiti wa Kijiji cha Machipi Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilayani Kilombero Bwana Philip Mwitumba amesema Ujenzi wa jengo la zahanati umefikia hatua ya kupaua na unatarajiwa kukamilika machi 16 mwaka huu. Bwana Mwitumba amesema mradi wa…
21 Febuari 2023, 3:07 um
Watafiti waja na drones kutokomeza mazalia ya mbu
Na Rifat Jumanne Watafiti kutoka Taasisi ya utafiti wa Afya Ifakara wameanzisha program maalum ya kutumia ndege zisizo na rubani {Drones} ambazo zitakuwa na uwezo wa kuzunguka na kunyunyizia dawa ili kudhibiti ugonjwa wa malaria katika Mji wa Ifakara. Hayo…
21 Febuari 2023, 12:53 um
Uvutaji Sigara Sababu Mdomo Sungura
Madaktari Bigwa kutoka mkoani Arusha wakishirikiana na shirika la THE SAME QUALITY FOUNDATION kutembelea mikoa mbalimbali kutibu. Na Joyce Buganda. Wajawazito na wazazi wenye watoto waliozaliwa na mdomo wazi wameshauriwa kutembelea vituo vya afya ili kujua maendeleo ya afya zao.…
20 Febuari 2023, 12:29 um
DC. Gondwe na kampeni ya kuku Robo matibabu mwaka mzima
Kwa sasa hospitali hiyo inatoa huduma zote muhimu zikiwemo huduma za wagonjwa wa nje, huduma za maabara, huduma ya Mionzi, upasuaji kwa wajawazito na upasuaji wa kawaida, huduma za watoto njiti ambazo hapo awali wananchi walilazimika kuzifuata Dodoma mjini, Na…
17 Febuari 2023, 3:24 um
Wanafunzi Wapewa Vyandarua
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imeunga juhudi za serikali ya awamu ya sita za kupambana na Malaria kwa kutoa vyandarua katika shule za msingi kwa kila mtoto. Na Adeliphina Kutika. Zaidi ya wanafunzi 230,000 wa shule za msingi 556 za…
16 Febuari 2023, 6:06 mu
Elimu Itolewe Juu ya Ugonjwa wa KifuaKikuu
MPANDA Serikali Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imetakiwa kuongeza juhudi za utoaji wa elimu ya ugonjwa wa Kifua Kikuu ili kuwapatia wananchi uelewa juu ya ugonjwa huo Hayo yamebainishwa na wananchi wa Manispaa ya Mpanda wakati wakizungumza na Mpanda Radio…