Baraka FM

Elimu

10 November 2025, 1:20 pm

Safari ya binti Fanikiwa kutoka katika matumizi ya Skanka

Awali, nilikutana na Fanikiwa na kukuandalia taarifa hii fupi, ikieleza jinsi mdogo wake alivyomsaidia kuachana na matumizi hayo na kuanza upya maisha yenye matumaini. Na Seleman Kodima.Fanikiwa Subukheri—sio Jina lake halisi —ni kijana mdogo aliyewahi kutumbukia katika matumizi ya dawa…

24 October 2025, 7:52 pm

Wafanyabiashara Kilosa walia na ukosefu wa choo

Soko hilo la Kilabu cha Mtendeni linahudumia watu wengi kila siku, na bila choo, mazingira yameanza kuwa hatarishi kwa kusababisha uchafuzi unaoweza kusababisha magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu. Na Beatrice Majaliwa Wafanyabiashara wa soko la kilabu cha Mtendeni lililopo katika…

24 October 2025, 1:38 pm

Kapigeni kura hakuna tishio la usalama; DC Aswege

Jumla ya wapigakura wenye sifa kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ni takribani watu 253.891 Na Adelinu Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Aswenge Enock Kaminyoge amewahakikishia wananchi wilayani Bunda ambao wanasifa za kupiga kura tarehe…

24 October 2025, 12:11 pm

Mitazamo hasi kikwazo kwa wanawake katika uchaguzi

Vikwazo vya kijamii na kifamilia,Familia na jamii huweza kuwa kizuizi kwa wanawake kwa kuwataka waendelee na majukumu ya nyumbani badala ya kujihusisha na siasa.Wanawake hupewa majukumu ya malezi na kazi za nyumbani, jambo linalopunguza muda na rasilimali za kushiriki kampeni.…

21 October 2025, 1:55 pm

Amani chanzo cha umoja na mshikamano wa kitaifa

Uwepo wa amani nchini Tanzania imekua chanzo cha kutokuwepo kwa matabaka ya udini, Ukabila walionacho na wasionacho, badala yake waTanzania wote wamekua na maisha ya kuchangamana bila kubaguana kwa hali yoyote. Karibu kusikiliza mahojiano ya moja kwa moja

15 October 2025, 16:52

Waajiri Mbeya watakiwa kusajili wafanyakazi NSSF

Wakuu wa taasisi binafsi na serikali wametakiwa kuwanufaisha wasajili wao na Mfuko Hifadhi ya Jamii wa Taifa (NSSF). Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Beno Malisa amewataka waajiri kutimiza takwa la kisheria la kuwasajili wafanyakazi wao katika Mfuko…

10 October 2025, 18:44

Msyaliha: Wahitimu theolojia tumieni elimu yenu kuhubiri injili

Watumishi mbalimbali wanao pata masomo ya theolojia watakiwa kumtumikia Mungu kutokana na elimu wanayo ipata. Na Kelvin Lameck Wahitimu wa masomo ya theolojia katika chuo cha biblia Utengule kinachomilikiwa na kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi wametakiwa kutumia…