Zenj FM

Uncategorised

14 March 2024, 4:03 pm

Walimu Zanzibar watakiwa kutumia mtaala mpya

Na Ishaka Mohammed Pemba “Baada ya mafunzo jukumu kubwa la mwalimu ni kutumia mtaala huo wakati wa ufundishaji” Amesema Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Leila Mohamed Mussa. Waziri wa  Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Leila Mohamed…

12 March 2024, 5:15 pm

Jeshi la polisi Kusini Unguja kuimarisha ulinzi, usalama

Na Mary Julius. Katika kuhakikisha wananchi wanaofanya ibada za usiku katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan wanakuwa salama, Jeshi la Polisi laahidi kulinda watu na mali zao. Jeshi la polisi mkoa wa Kusini Unguja limejipanga kuimrisha ulinzi na…

27 August 2023, 3:21 pm

Kijana ajinyonga Pemba

Na Is-haka Mohammed Mtu mmoja anayejulikana kwa jina Moh’d Omar Juma maarufu Magodoro   anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 mkaazi wa Machomanne Kilimo amefariki dunia baada ya kuonekana akining’inia katika chumba kwa kujinyonga. Khamis Issa Moh`d ni Mwanafamilia  wa…

16 August 2023, 12:10 pm

Kipindi: Mwangaza wa habari

Na Ivan Mapunda. Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa kaskazini Unguja amewataka madereva kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepukana na ajali.