Vwawa FM Radio

Fahamu jinsi ya kutibu mifupa iliyovunjika kwa njia ya asili

April 24, 2025, 10:19 am

Kisinga Moto miongoni mwa wangojwa waliotibiwa mfupa uliovunjika kwa njia asili.Picha na Pili Mwang’osi

Makala hii inaangazia mkazi wa kijiji cha Msia wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe, Shukurani Mgale anavyo tumia njia za asili kuwatibu wangojwa waliovunjika mifupa

Na Pili Mwang’osi