Radio Tadio

wizi

8 November 2023, 6:05 pm

Wizi waibuka soko la Machinga Complex Dodoma

Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu kuzinduliwa  kufanya biashara kwa wamachinga ambapo awali walikuwa wakifanyia biashara katika maeneo ya katikati ya jiji la Dodoma. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara katika soko  la Machinga Complex jijini Dodoma wamelalamikia tabia ya…

2 November 2023, 11:12 am

Wizi wa mifugo washamiri Chinangali 2

Na Mindi Joseph. Wimbi la wizi wa mifugo limeendelea kushika kasi katika Kijiji cha Chinangali 2 wilayani chamwino mkoani Dodoma ambapo Mifugo hiyo huibiwa na kuchinjwa nyakati za usiku. Katika kipindi cha Miezi 10 ndani ya  Mwaka huu 2023 ng’ombe…

10 July 2023, 7:20 pm

Vibaka wabomoa ghala la chakula Mbogwe

Wezi katika maeneo mbalimbali mkoani Geita bado ni changamoto huku uongozi katika ngazi mbalimbali ukiendelea kushirikiana na wananchi kwa ukaribu ili kutokomeza vitendo hivyo. Nicolaus Lyankando- Geita Kundi la watu ambao hawakufahamika wamebomoa ghala la chakula na kuiba magunia ya…

4 July 2023, 11:07 am

21 mbaroni wizi miundombinu ya maji

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo mbali mbali vya uhalifu vikiwemo vya wizi wa vifaa vya miundo mbinu ya maji. Na Nicholaus Mwaibale Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Kamishna msaidizi Richard…