Wafanyabiashara
14 January 2025, 2:49 pm
Wagonjwa wa kifua kikuu watambuliwe mapema ili kuepusha maambukizi zaidi
Kikao hicho maalum ni utekelezaji wa mpango harakishi wa kuibua wagonjwa wa kifua kikuu katika halmashauri 76 za mikoa 9. Na Seleman Kodima.Katibu tawala mkoa wa Dodoma Kaspar Mmuya amesema ipo haja ya kuwatambua wagonjwa wa kifua kikuu mapema ili…
18 July 2023, 11:23
Wananchi wametakiwa kununua vipodozi kwenye maduka yaliyoruhusiwa
Shirika la viwango Tanzania TBS limesema litaendelea kuwachukulia hatua wafanyabiashara wanaouza bidha zilizopigwa marufuku ili kuepusha matumizi ya vipodozi visivyokidhi viwango kutumika kwa wananchi. Na, Lucas Hoha Wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kununua vipodozi kwenye maduka ambayo yameruhusiwa na wahakikishe kama…
4 May 2023, 8:42 am
Wajasiriamali zaidi ya 100 wapata hasara.
Na Kale Chongela: Zaidi ya Wajasiriamali 100 waliopo njia panda mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilaya ya Geita na mkoani Geita wameacha biashara hiyo kutokana na mzunguko kuwa mdogo. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa umoja wa wajasiriamali waliopo katika…
28 March 2023, 3:23 pm
Mfumo wa TAUSI watambulishwa kwa wafanyabiashara Kilosa
Wafanyabiashara wilayani Kilosa kuanza kunufaika na matumizi ya mfumo wa Tausi ambao utawarahisishia upatikanaji wa leseni kwa haraka. “Mfumo huo unaweza kutumika kupitia simu janja kwa mfanyabiashara na ili kufanikisha kutumia mfumo huo mfanyabiashara atatakiwa kuwa na namba ya NIDA…
7 February 2023, 12:39 pm
Wafanyabiashara walalamikia hali ya soko Ihumwa
Wafanyabiashara katika soko la ihumwa jijini dodoma wameiomba serikali kutengeneza miundombinu ya soko hilo kutokana na eneo wanalotumia kwa sasa kutokutosheleza mahitaji. Na Thadei Tesha. Ni katika soko la ihumwa jijini dodoma ambapo baadhi ya wafanyabiashara katika soko hili wanasema…
23 March 2022, 2:39 pm
Hali ya ugonjwa wa kifua kikuu yaendelea kudhibitiwa
Na;Yussuph Hassan. Kuelekea siku ya kifua kikuu Duniani march 24, imeelezwa kwa Serikali Mkoani Dodoma katika kutokomeza ugonjwa huo ilipanga kila baada ya miezi mitatu kuibua wagonjwa Elfu Moja, Mitatu Sitini na Mbili, kila baada ya miezi mitatu. Lengo…