Radio Tadio

umeme

8 December 2023, 4:39 pm

Tatizo la umeme Ngorongoro

Wananchi wilayani Ngorongoro wamekuwa wakiitaja kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara kuwa ni moja ya kero kubwa kwao kwani wamekuwa wakiofia kuungua kwa mali zao zinazotumia umeme na hata kushindwa kufanya kazi zao za kila siku hususani wale…

14 October 2023, 10:52 am

Mwese kung’arishwa na umeme ifikapo Disemba

Tanganyika Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema hadi kufikia Disemba 31,2023 wananchi wa vijiji katika kata ya Mwese watakuwa wamefikiwa na huduma ya umeme. Ameyasema hayo wakati akizungumza katika kipindi cha Kumekucha Tanzania baada ya wananchi wa…

15 July 2023, 6:51 pm

Wananchi wacharuka kuuziwa nguzo za umeme

Ukubwa wa gharama za umeme katika maeneo mbalimbali ya vijijini ni moja ya changamoto inayowanyima fursa wananchi kupata huduma ya umeme. Na Nicolaus Lyankando- Geita Wananchi wanaoishi maeneo ya vijijini katika halimashauri ya wilaya ya mbogwe mkoani Geita wamelalamikia gharama…

28 April 2023, 7:33 am

DC Maswa awataka wananchi kupisha mradi wa umeme

Alex F. Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe. Aswege Kaminyoge amewataka wakazi  Wilayani hapo  wanaopitiwa na Mradi wa umeme toka Ibadakuli Mkoani Shinyanga hadi Bariadi Simiyu wenye msongo wa Kilovoti 220 kuachia maeneo yao kwaajili ya utekelezaji…

22 February 2023, 6:24 pm

Diwani Magamba Alia na Tanesco

MPANDA Diwani wa Kata ya Magamba Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi Fortunatus Maiko ameliomba Shirika La Umeme [Tanesco] kutoa ufafanuzi kuhusiana na Matumizi ya unit za umeme ili kuondoa mkanganyiko unaoendelea kuonekana kwa ya wananchi. Ameyasema hayo alipokuwa kwenye baraza…

8 February 2023, 12:50 pm

Ukosefu wa nishati ya umeme yaleta chuki kwa viongozi

Imelezwa kuwa kukosekana kwa huduma ya nishati ya umeme kwa baadhi ya vitongoji katika Kata ya Idifu imesababisha baadhi wananchi kujenga chuki kwa viongozi na kutaja kitendo cha kukosekana kwa nishati hiyo ni uzembe wa viongozi. Na Victor Chigwada. Mwenyekiti…

22 January 2023, 10:18 am

Matumbulu walalamika gharama za umeme

Na; Mindi Joseph. Gharama kubwa ya kuunganisha umeme wa TANESCO katika  mtaa wa Kusenha kata ya Mpungunzi imetajwa kuwa kikwazo kwa wananchi kuunganisha umeme huo. Gharama za kuunganisha umeme wa TANESCO ni zaidi ya laki tatu tofauti na umeme wa…

13 January 2023, 4:11 pm

Vijiji 64 vyapata umeme jiji la Dodoma

Mkoa wa Dodoma una miradi mitano ya Umeme Vijiji ambapo mradi uliokamilika umewezesha kupelekea umeme kwa maeneo 80 ndani ya Vijiji 64. Thomas mbaja ni mwakilishi wa REA amefafanua hilo ikiwa ni utekelezaji wa kuhakikisha umeme vijijini .

1 December 2022, 8:11 am

Wakazi wa Silwa walalamika kukosa huduma ya Umeme

Na; Victor Chigwada .  Pamoja na jitihada za kusambaza umeme zinazo endelea nchini katika maeneo yaliyopo nje ya miji lakini bado baadhi ya maeneo yameendelea kuwa na kilio cha huduma hiyo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi wa…