Radio Tadio

takataka

25 June 2026, 17:56

Fahamu ngoma ya kabila la wasandawe wakati wa jando

Wanasema kwasasa elimu na sheria imesaidia kwa kiasi kikubwa kukomesha mila ya ukeketaji haipo tena hivyo ngoma hii huchezwa kabla na baada ya watoto wa kiume kwenda jando. Na Yussuph Hassan.licha ya kabila hili kuwa na aimba mbalimbali za ngoma…

28 May 2026, 17:50

Jamii ya kabila la wasandawe na tamaduni zao

Karibu katika fahari ya Dodoma ambapo leo tunaangazia asili ya kabila la wasandawe katika Kijiji cha Farkwa wilayani Chemba. Na Yussuph Hassan. Jamil hizi ambazo ni za kale zaidi na zinachukuliwa kuwa wakazi wa mwanzo kabisa wa jamil za asili…

26 May 2026, 17:41

Kifahamu chakula kikuu cha kabila la Wasandawe

Leo tupo katika eneo la Farkwa linalo patikana wilayani Chemba Jijini Dodoma ambapo wenyeji wa eneo hili ni wasandawe. Na Yussuph Hassan.Leo katika fahari ya Dodoma tunaangazia kabila la wasandawe asili ya chakula chao kabila hili limejikita katika shughuli za…