mawasilino
10 January 2024, 6:57 pm
Naibu waziri wa Habari atoa maagizo kwa wakandarasi nchini
Serikali ya awamu ya sita imejidhatiti katika kuimarisha mawasiliano nchini kwa kuongeza kasi ya ujenzi wa minara na vituo vya kuongeza nguvu ya mawasiliano. Na Mrisho Sadick – Chato Naibu Waziri wa Habari ,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandis Kundo…
8 December 2023, 8:53 am
Wananchi walia na waya uliopita chini kwenye makazi yao
Changamoto ya nyaya zilizopitishwa chini ya nyumba za watu kinyemela zimezua taharuki kwa wakazi wa Tambukareli mjini Geita. Na Kale Chongela- Geita Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Tambukareli kata ya kalangalala mjini Geita wanaoishi pembezoni mwa Barabara ya Q…
28 August 2023, 5:45 pm
Serikali yakamilisha ujenzi wa minara 304 ndani ya Mwaka mmoja.
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF) unaendelea na ukaguzi wa minara yote iliyowashwa ili kuona utendaji kazi wake unakidhai vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Mikataba Na Selemani Kodima Katika kuendelea kutatua changamoto za mawasiliano nchini ,Serikali imefanikiwa kukamilisha miradi ya mawasiliano …
14 July 2023, 4:05 pm
Storm FM yaendelea kujengewa uwezo na TADIO
Mtandao wa Redio Jamii wa TADIO umeendelea kuziimarisha redio hizo kwendana na wakati hususani katika kurusha matangazo kwa njia ya mtandao. Na Mrisho Sadick: Mtandao wa TADIO umeendelea kuijengea uwezo Storm FM wa namna ya kutumia mtandao wa Redio Portal…
27 October 2022, 10:35 am
Wakazi wa Gulwe wakosa mawasiliano ya simu
Na; Victor Chigwada. Changamoto ya mawasiliano katika Kijiji Cha Gulwe imeendelea kuwaathiri wananchi kutokana na uhaba wa minara ya mitandao ya simu. Wananchi hao wa Gurwe wamesema kuwa wamekuwa wakipata wakati mgumu wanapo hitaji kufanya mawasiliano kwa njia ya simu…
25 October 2021, 12:46 pm
Asasi za kiraia nchini zajadili mchango wake katika maendeleo ya nchi
Na;Mindi Joseph. Asasi za Kirai Nchini leo zimeketi pamoja katika mdahalo wa kujadili Mchango wake katika maendeleo ya Nchi na uchumi katika kuongeza pato la taifa na kupunguza umasikini kwa wananchi. Akizungumza leo katika Mdahalo huo Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation…