Mahakamani
17 January 2023, 5:33 pm
Jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kuzinduliwa January 19 Katavi.
KATAVI Wananchi Mkoani Katavi wameombwa kujitokeza katika uzinduzi wa jengo la mahakama ya hakimu mkazi mkoani Katavi . Wito huo umetolewa na Afisa Habari wa mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Katavi Wakili James Kapele ambapo amesema uzinduzi huo utaambatana…
2 December 2022, 12:26 pm
Bunda; Mahakama ya wahukumu faini ya laki tatu au kifungo cha miaka mitatu jela…
Mahakama ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imewahukumu kulipa faini ya shilingi laki tatu au kwenda jela miaka mitatu Mwenge Maseke (29) mkazi wa bunda mjini na Guya Saimon Isabuke (41) mkazi wa Bunda stoo (ambaye hakuwepo mahakamani) kwa kosa…
29 November 2022, 12:37 pm
Bunda; ahukumiwa kifungo cha maisha jela na fidia ya shilingi milioni moja kwa k…
Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu kifungo cha maisha jela na faini ya shilingi milioni moja Steven Mwita 52 mkazi wa mtaa wa Kinyabwiga kata ya Guta halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara kwa kosa la kubaka. Hukumu hiyo…
11 June 2022, 8:09 am
Sabaya: Mungu amenitendea miujiza
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amemshukuru Mungu kwa kumfanyia miujiza iliyopelekea kushinda kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikimkabili. “Mimi ninamshukuru Mungu sana na ambariki Rais aliyeweka mfumo wa haki inawezekanaameshafanya kwa wengi lakini Mungu kupitia kwa…
28 April 2022, 1:18 pm
Bunda: Ahukumiwa miaka 2 jela kwa kosa la kujeruhi
Mahakama ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imemuhukumu kifungo cha miaka 2 gerezani na fidia ya sh. Laki tatu ndugu Maisha Ngoko maarufu kwa jina la Kishosha Ngoko 31 mkazi wa kijiji cha Kihumbu kwa kosa la kumjeruhi kwa kumkata…
12 August 2021, 11:48 am
Wakazi wa Ndachi watarajia ahueni ya migogoro ya ardhi baada ya zoezi la upimaji…
Na; Mariam Matundu. Kufutia mgogoro wa ardhi wa muda mrefu katika Mtaa wa Ndachi Jijini Dodoma hatimae wakazi wa Mtaa huo wanatarajia kupata ahuweni kutokana na kukamilika kwa upimwaji wa viwanja. Taswira ya habari imezungumza na mwenyekiti wa mtaa huo…
26 July 2021, 10:59 am
Mashamba ya zabibu kuto guswa katika zoezi la upimaji ardhi Dodoma
Na;Mindi Joseph. Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini Mhe.Jabir Shekimweri amesema Mkoa hautagusa mashamba ya kilimo cha zabibu wakati zoezi la upimaji wa viwanja likiwa linaendelea jijini Dodoma. Akizungumza na Taswira ya habari Mh Jabir amesema Mkoa wa Dodoma wote…