magonjwa
29 February 2024, 4:34 pm
Historia ya mtaa wa Hazina wanajivunia nini?
Licha ya historia ya mtaa huu mwenyekiti anaeleza vitu ambavyo wakazi wa mtaa huu wanajivunia. Na Yussuph Hassan. Mwandishi wetu anaendelea kuzungumza na mwenyekiti wa mtaa wa Hazina na leo anaeleza vitu mbalimbali vinavyo patikana katika mkoa huu mkongwe uliopo…
15 November 2023, 4:37 pm
Ugumu wa maisha wapelekea wagonjwa kushindwa kufuata ushauri wa kitaalam
Takwimu zinaonesha kuwa duniani kote chini ya asilimia 50 ya nchi zina será za kitaifa za kufanya mazoezi ya mwili na kati ya hizo ni asilimia 40 ndio zinazofanya kazi ni muda sasa Jamii kuwa na utamaduni wa Kufanya mazoezi…
13 November 2023, 3:13 pm
Sukari, shinikizo la damu isipotibiwa mapema husababisha matatizo zaidi
Na Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa endapo Magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu ya damu yasipopatiwa matibabu mapema yanaweza kusababisha magonjwa mengine makubwa. Magonjwa hayo ni pamoja na ugonjwa wa figo ambapo Dkt. Amina Omary kutoka Hospitali ya rufaa ya…
25 August 2023, 17:24
Jamii mkoani Kigoma yatakiwa kujikinga na magonjwa ya mlipuko
Magonjwa ya mlipuko mkoani Kigoma yanaweza kudhibitiwa iwapo hatua mbalimbali zitachukuliwa na jamii. Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kushirikiana vyema na wadau wa sekta ya afya ili kuondoa tatizo la magonjwa ya mlipuko ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara. Mganga Mkuu…
July 4, 2023, 10:56 am
Jamii kuishi kwa mazoea chanzo cha magonjwa yasioambukizwa
Wananchi wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamesema magonjwa yasiyoambukizwa yamekuwa ni changamoto kutokana na maisha ya mazoea katika jamii. Na Misoji Masumbuko Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema watu wengi wanaopata magonjwa yasiyoambukizwa hawatambui mapema kutokana na kutokuwa na tabia…
21 October 2022, 11:10 am
Wananchi Waaswa Juu ya Tahadhari ya Magonjwa ya Mlipuko
MPANDA Wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi Wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya magonjwa ya milipuko ikiwamo kuhara kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni sambamba na kutibu maji ya kunywa. Afisa afya Manispaa ya Mpanda Erick Kisaka ameitaka jamii…
1 September 2022, 8:39 am
Wizara ya Afya yaja na mkakati wa kuzuia magonjwa yasiyopewa kipaumbele
Na ;Benard Filbert . Wizara ya afya imesema kuwa imekuja na mpango wa taifa wakudhibiti magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele lengo likiwa kumezesha dawa za kinga tiba katika ngazi ya jamii. Hayo yanajiri kutokana na baadhi ya magonjwa kutokupewa kipaumbele licha…
26 November 2021, 1:53 pm
nyumba 150 za watumishi umma zimeanza kujengwa eneo la nzuguni
Na;Mindi Joseph . Jumla ya nyumba 150 za watumishi wa umma katika eneo la Nzuguni zimeanza kujenga kupitia Miradi inayotekelezwa na wakala wa majengo Tanzania TBA jijini Dodoma huku zikitarajiwa kukamilika mwezi June 2022. Akizungumza katika Ziara ya viongozi wa…
14 October 2021, 12:23 pm
Wakazi wa Zuzu waiomba serikali kuwalipa fedha za fidia ya maeneo yao
Na; Benard Filbert. Wakazi wa mtaa wa Zuzu jijini Dodoma wameiomba serikali kuwalipa fedha za fidia ya maeneo ambazo waliahidiwa baada ya kuondolewa katika maeneo yao kupisha kujengwa kwa miundombinu ya umeme wa reli ya kisasa (Standard Gauge). Wametoa malalamiko…