Madawati
25 April 2024, 6:38 pm
Gesi ya ukaa hatari kwa mazingira
Kuboresha na kutunza mazingira ardhini na baharini ni mojawapo ya mikakati mikuu ya kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi. Na Mariam Kasawa.Inaelezwa kuwa uzalishaji wa gesi ya ukaa usipopunguzwa kwa asilimia 7.6 kila mwaka dunia haitaweza kufikia nyuzijoto 1.5 za kiwango…
12 October 2023, 12:19 pm
Shule za msingi mbili Chamwino zapatiwa msaada wa madawati
Mradi huo wa Majaribio ambao umetekelezwa na kikundi cha Ujirani Mwema katika kijiji cha Wilunze ni matokeo ya kamati za ufatiliaji na uwajibikaji ngazi ya serikali za Vijiji ambapo Mradi huo umesimamiwa na Shirika la AFNET kwa Ufadhili wa Taasisi…
4 October 2023, 3:58 pm
DC Bunda atoa kongole kwa mbunge Maboto kusaidia madawati
Mkuu wa wilaya ya Bunda Mh. Dkt. Vicent Naano amemshukuru mbunge wa jimbo la Bunda Mjini Robert Chacha Maboto kwa kusaidia shule za jimbo la Bunda Mjini kwa kutoa madawati 1049 zilizopatikana kutokana na fedha za mfuko wa jimbo. Na…
26 September 2023, 12:21
Shule ya msingi Busunzu B yakabiliwa na uhaba wa madawati 400
Benki ya NMB kanda ya magharibi imetoa msaada wa madawati 50 katika shule ya msingi Busunzu Biliyopo Wilayani kibondo Mkoani Kigoma ikiwa ni jitihada za kukabiliana na uhaba wa madawati katika shule hiyo. Na James Jovin Shule ya msingi Busunzu…
6 September 2023, 2:27 pm
Upungufu wa madarasa Vilindoni wasababisha mrundikano wa wanafunzi
Jumla ya madarasa 19 yanahitajika kujengwa katika shule hiyo ili kupunguza mrundikano wa wananfunzi darasani. Na Mindi Joseph. Upungufu wa madarasa katika shule ya msingi Vilindoni umesababisha mrudukano wa wananfunzi darasani. Darasa moja wanafunzi wanakadiriwa kukaa 90 hadi 100. Hapa…
24 April 2023, 2:56 pm
Wananchi Bahi watarajia kuchangia Zaidi ya madawati 10,000
Pamoja na wilaya ya Bahi kuwa na mafanikio makubwa kitaaluma katika mkoa na taifa, tatizo la kukosekana kwa madawati lisipodhibitiwa linaweza kuwa chanzo cha kupotea kwa mafanikio hayo. Na. Bernad Magawa. Wananchi wilayani Bahi wanatarajia kuchangia zaidi ya Madawati elfu…
23 March 2023, 12:29 pm
Halmashauri ya jiji la Dodoma kupunguza adha ya madawati shuleni
Mkakati huo utasaidia kupunguza adha ya madawati inayo zikabili shule nyingi jijini Dodoma Na Fred Cheti. Halmashauri ya jiji la Dodoma imepanga kutengeneza madawati na kuyagawa kwa shule zote za serikali za Msingi na Sekondari zilizopo jijini hapa ili kupunguza…
28 February 2023, 4:27 pm
Nollo kumwaga Madawati 800 shule za Msingi
Halmashauri ya wilaya ya Bahi ambayo kwa miaka mitatu mfululizo imekuwa na sifa kubwa katika idara ya elimu Msingi. Na Bernad Magawaa MBUNGE wa Jimbo la Bahi . Kenneth Nollo ameahidi kutoa madawati 800 ikiwa ni sehemu ya kuanza kupunguza…