madarasa
16 January 2024, 4:48 pm
RC Mwanza aipongeza Sengerema ujenzi wa madarasa.
Mkuu wa mkoa wa mwanza Mh, Amos Mkala baada ya kutamatisha ziara yake katika Halmshauri ya Sengerema, ameendelea na ziara yake katika Halmshauri ya Buchosa wilayani Sengerema kwa ajili ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo sekta ya…
3 July 2023, 12:22 pm
Zaidi ya bilioni moja kujenga shule za msingi Tabora
Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 1 na milioni 300 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya za msingi kwenye kata za Mtendeni, Mbugani na Tambukareli manispaa ya Tabora ili kuondoa tatizo la upungufu wa madarasa katika manispaa hiyo. Na…
9 March 2023, 4:35 pm
Uongozi wa kata ya Itiso yatoa pongezi kwa jitihada za ujenzi wa madarasa
Uongozi umetoa pongezi kwa wananchi wa kata ya Itiso wilayani Chamwino kwa juhudi kubwa wanayoifanya ya ujenzi wa Vyumba vya madarasa . Na Victor Chigwada. Uongozi wa Kata ya Itiso wilayani Chamwino umetoa pongezi kwa wananchi wa kata hiyo kwa…
22 February 2023, 5:38 pm
Uhaba wa vyumba vya madarasa watajwa kuwa kikwazo
Uhaba wa vyumba vya madarasa na nyumba za walimu imetajwa kuwa kikwazo kikuu cha maendeleo. Na Victor Chigwada. Uhaba wa vyumba vya madarasa na nyumba za walimu imetajwa kuwa kikwazo kikuu cha maendeleo ya elimu katika kata ya Chilonwa Wilaya…
16 September 2022, 4:43 am
Zaidi ya Wanafunzi 5,000 Kusomea Chini Kata ya Shanwe
MPANDA Zaidi ya wanafunzi 5000 katika Kata ya Shanwe manispaa ya Mpanda mkoani katavi hawana sehemu ya kusomea hali ambayo inapelekea kusomea nje. Akizungumza na Mpanda Redio FM Diwani wa Kata ya Shanwe Masumbuko Makolo kolo amesema kuwa shule zilizopo…
30 May 2022, 4:34 pm
Ujenzi wa vyumba vya madarasa waendelea Bahi
Na;Mindi Joseph. Ujenzi wa madarasa katika shule za sekondari na Msingi kata ya bahi unaendelea ili kuhakikisha wanatatua changamoto ya Madarasa kwa wanafunzi. Akizungumza na Taswira ya habari Diwani wa kata hiyo Bw,Agustino Ndonuu amesema wananchi wameunganisha nguvu kwenye jitihada…
19 May 2022, 3:20 pm
Wananchi wa kata ya Ihumwa waanza mchakato wa ujenzi wa vyumba vya madarasa
Na; Victor Chigwada. wananchi wa Kata ya Ihumwa wilaya ya Dodoma mjini wameanza kuchukua jitihada za kuanzisha ujenzi wa vyumba vya madarasa kutokana na wingi wa wanafunzi katika shule ya msingi Ihumwa A . Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na…
23 August 2021, 1:53 pm
Wadau waizungumzia kumbukumbu ya biashara ya utumwa Duniani.
Na; Fred Cheti. Ikiwa leo Agosti 23 ni siku ya kumbukizi ya biashara ya utumwa Duniani bado inaelezwa kuwa athari za biashara hiyo ambayo inayotajwa kama moja ya ukatili wa kupindukia uliowahi kutokea kwa mwanadamu zinaendelea kuonekana duniani. Hiyo ni…