hukumu
20 May 2026, 18:06
Serikali yasisitiza umuhimu wa uimarishaji wa vipimo nchini
Kila Mwaka Mei 20 Wakala wa Vipimo hushirikiana na Mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha Siku ya Vipimo Duniani kwa lengo la kuimarisha matumizi ya vipimo sahihi katika sekta mbalimbali za uchumi pamoja na maisha ya kila siku ya wananchi. Na Mariam…
15 January 2024, 13:23
Polisi Kigoma yakamata silaha 16 zinazomilikiwa kinyume na sheria
Jeshi la Polisi Mkoani kigoma limefanikiwa kukamata silaha 16 zilizokuwa zinamilikiwa kinyume na sheria huku washatakiwa 2 wa kesi za kupatikana na hatia wakihukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka 20 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki silaha…
12 November 2023, 11:00 am
Mzee wa miaka (62) ahukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji
Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu Nyakurunduma Matutu kuboja (62) mkazi Kiroreli kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka kumi. Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu Nyakurunduma Matutu kuboja (62)…
29 September 2023, 23:09
Mch. Mwakipesile ahukumiwa miaka 3 jela
Kila nchi inaendeshwa kwa mujibu wa taratibu na sheria na katika sheria hakuna ambaye anakuwa juu ya sheria, hivyo kila mtu anapaswa kuheshimu taratibu na kuheshimu sheria. Na Josea Sinkala Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka…
14 September 2023, 7:31 pm
Bila kuwepo mahakamani, ahukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la kubaka
Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya Bunda Betron Sokanya amesema kuwa upande wa mashtaka umethibitisha kosa na mahakama imethibitisha pasi na kuacha shaka lolote kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu…