Radio Tadio

Bongoflava

9 July 2024, 10:19 am

PM Majaliwa awafuta kazi vigogo Iringa

Na Frank Leonard WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kusimamishwa kazi mara moja Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Emanuel Sigachuma na Ofisa Elimu Sekondari wa halmashauri hiyo Nelson Milanzi, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili na kufikishwa mahakamani. Wawili…

June 20, 2024, 8:45 pm

 Kamanda Katabazi azindua daraja la Mapea

Changamoto ya muda mrefu iliyokuwa inawakabili wakazi wa kijiji cha Matufa kwa kukosa daraja na wananchi kushindwa kupita katika eneo hilo ambalo lilikuwa linatumika kufanyia vitendo vya uhalifu limetatuliwa. Na Angel Munuo Kamanda wa polisi mkoani Manyara Geogre Katabazi amezindua…

19 June 2024, 10:44 am

Wanahabari kutumia kalamu zao kuhusu malezi bora

Na Adelphina Kutika Waandishi wa habari wa redio jamii mkoani Iringa wametakiwa  kutumia kalamu zao kuandika na kuelimisha jamii ili kuleta mabadiliko chanya kwa mtoto na taifa kwa ujumla. Hayo yamebainishwa katika ufunguzi wa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu Program…