Storm FM

wezi

6 May 2024, 5:32 pm

Wezi wadaiwa kuficha mali juu ya mlima

Licha ya dhana ya ulinzi shirikishi na uwepo wa polisi jamii katika mitaa na vijiji vya mkoa wa Geita, bado changamoto ya vibaka na wezi imeendelea kuwatesa wakazi wa Njia panda ya Inyala katika mji mdogo wa Katoro. Na: Evance…

8 September 2023, 12:06 pm

Vijana wahimizwa kujikita katika kilimo cha kitalu nyumba

Juhudi za kuendelea kuwahimiza vijana kujiingiza kwenye kilimo zinaendelea, kwani kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa, huku Kijani Consult wakija na njia mbadala kwa vijana wa Geita kutumia kilimo chenye mwanga mdogo wajua ili mazao kustawi vizuri. Na Zubeda…

2 September 2023, 2:13 pm

Geita DC na mkakati wa kuongeza uzalishaji mpunga

Kutokana na mabadiliko ya tabianchi wakulima wilayani Geita wameishauri serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa chakula. Na Mrisho Sadick: Kuboreshwa kwa miundombinu ya kilimo katika halmashauri ya wilaya ya Geita itasaidia kuongeza uzalishaji wa…

1 August 2023, 10:45 pm

TAKUKURU Geita yaokoa zaidi ya shilingi milioni 11

Wakulima wa pamba wamelalamikia kutapeliwa pesa zao za mauzo, hali iliyopelekea TAKUKURU kuingilia kati. Na Kale Chongela- Geita Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Geita imefanikiwa kuokoa zaidi ya Shilingi Milioni 11 zilizokuwa zimetapeliwa na viongozi…

13 July 2023, 9:59 am

Wakulima Chato kunufaika na kilimo cha umwagiliaji

Kutokana na mabadiliko ya tabianchi kusababisha kupungua kwa mvua wilayani Chato mkoani Geita, serikali imekuja na njia mbadala ya kilimo cha umwagiliaji ili kuwakomboa wakulima. Na Mrisho Sadick: Serikali imepanga kuboresha mifumo ya umwagiliaji kwa wakulima wanaoishi pembezoni mwa Ziwa…