Storm FM

umeme

7 November 2025, 10:16 am

Makala ya kurunzi kuhusu matumizi ya AI

“Kutokana na uwezo wake wa kuboresha huduma katika sekta mbalimbali kama vile afya, elimu, usafiri, na biashara, AI inatoa faida nyingi“ Na Dorcus Charles Katika ulimwengu wa leo, teknolojia ya Akili Bandia (AI) imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya…

26 October 2025, 3:30 pm

Makundi maalumu kupewa kipaumbele Uchaguzi mkuu

Siku ya uchaguzi tarehe 29 mwezi Oktoba 2025, nawasihi wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo mkatoe vipaumbele kwa makundi maalumu ya watu wenye ulemavu, wazee, wajawazito na akina mama wanaonyonyesha “Julius Ikongora John Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Maswa” Na…

25 October 2025, 3:16 pm

Makarani 792  wa Uchaguzi Maswa wapewa Somo

Makarani  waongozaji  wapiga  Kura  katika  Jimbo la  Maswa  Mashariki na Jimbo la  Maswa Magharibi wameaswa  kuzingatia  Kanuni, Miongozo  na  Sheria  za  Uchaguzi   zilizotolewa na Tume Huru ya  Taifa ya Uchaguzi  ili kuepuka  migogoro isiyokuwa ya lazima Nasaha  hizo zimetolewa  na …

22 October 2025, 2:46 pm

Leseni ya udereva, Paspoti na NIDA kumchagua kiongozi

“Kuchagua kiongozi unayemtaka ni takwa la kikatiba katika kuleta maendeleo kwenye eneo husika ndiyo maana sasa unapofika uchaguzi tunawataka wananchi waweze kuitumia hiyo haki ya kuchagua kiongozi wamtakao wenyewe”. Na,Daniel Manyanga  Wilayani Maswa mkoani Simiyu imeelezwa kuwa wale wote waliopoteza…

17 October 2025, 7:55 pm

Flora aahidi kuwa mtetezi ‘mikopo kichefuchefu’

“Naomba mnichague nitahakikisha watu wote wanapata mikopo bila kuonewa “ Na Katalina Liombechi Mgombea Udiwani Kata ya Viwanjasitini kupitia Chama cha Mapinduzi Flora Kwangu leo akizindua Kampeni zake amesema miongoni mwa mambo atakayoshughulikia ni pamoja na changamoto ya Miundombinu ya…

September 11, 2025, 4:47 pm

Watoto wanaookota vyuma chakavu watuhumiwa kwa uhalifu

Ni ya utoro, wizi na uharibifu Na Asteria Kibiki Watoto wanaojihusisha na vitendo vya kuokota vyuma chakavu katika kata ya Ichenjezya, wilayani Mbozi mkoani Songwe wanatuhumiwa kuongoza kwa utoro shuleni na kujifunza tabia za wizi na uharibifu. Pamoja na kutoroka…