Storm FM

ujenzi

14 December 2025, 6:28 pm

TADB yawatembelea wafugajiwa samaki ziwa Victoria

Baada ya Serkali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kutoa fursa kwa wavuvi kuanza ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya ziwa victoria, baadhi ya wananchi katika Halmashauri ya Buchosa wamefurahishwa, na kuiomba serikali kuwaongezea ujuzi na mitaji…

22 November 2025, 7:26 pm

Shirika la SMD lagusa maisha ya mtoto mwenye ulemavu

Baadhi ya wazazi na walezi nchini wamekuwa tabia za kutowapeleka shule watoto wenye ulemavu jambo linalokemewa vikali na Serikali pamoja na asasi za kiraia Na;Joyce Rollingstone Wazazi na Walezi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, wametakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu na badala…

15 November 2025, 11:44 am

DC Kaganda awataka wananchi kutunza vyanzo vya maji

Mkuu wa wilaya ya Babati Emmanuela Kaganda amewataka wananchi wilayani Babati mkoani Manyara kutunza vyanzo vya maji ikiwemo kutofanya shughuli zao karibu na vyanzo hivyo. Na Mzidalfa Zaid Kaganda amesema hayo baada ya kukagua miradi ya maji ukiwemo mradi wa…

10 September 2025, 14:18

Dkt. Samia kutua Kasulu Septemba 13

Wananchi wa Wilaya ya Kasulu wameeleza furaha yao kwa ujio wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mgombea Urais kuwa utatoa nafasi kwa wananchi kueleza mahitaji yao Na Hagai Ruyagila Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye…

6 August 2025, 18:45 pm

Makala: Kuruthumu apatiwa msaada wa kununua kiatu maalum

“Kuruthumu amepatiwa msaada wa shilingi 300,000 kwa ajili ya gharama za ununuzi wa kiatu hicho maalumu. Huu ni mwanzo mpya kwa maisha yake, kwani sasa ataweza kushiriki ipasavyo katika shughuli za kila siku bila kikwazo kikubwa cha utembeaji” Na Msafiri…

28 July 2025, 22:31 pm

Mzee mlemavu wa macho aomba msaada wa makazi Mtwara

Mzee Salumu Somba mkazi wa Mnyengedi, Mtwara, mlemavu wa macho, anaomba msaada wa makazi, mavazi, na mahitaji ya msingi kwa ajili ya familia yake kutokana na hali ngumu ya maisha. Na Musa Mtepa Mzee Salumu Somba, mkazi wa Kijiji cha…

20 March 2025, 3:55 pm

Ruwasa Manyara yaadhimisha wiki ya maji kwa kutoa elimu

Ruwasa Manyara yaadhimisha wiki ya maji kwa kutoa elimu. Wakala wa usambazaji maji na usafi mazingira vijijini mkoa wa Manyara yawataka wananchi kutunza vyanzo vya maji. Na Mzidalfa Zaid Wakati wiki ya maji ikiendelea kuadhimishwa , wananchi Mkoani Manyara wametakiwa…