Storm FM

uchumi

19 October 2025, 11:53 pm

TESIFA yawapa matumaini mapya vijana 144

Mafunzo hayo ambayo yametolewa na taasisi ya TESIFA Tanzania kwa kushirikiana na Swisscontact chini ya shirika la maendeleo nchini Uswiss (SDC) Kupitia ubalozi wa Uswiss Tanzania yamelenga kuwawezesha vijana hao kujipatia ujuzi utakaowasaidia kujitegemea, kujisimamia kimaisha, na pia kuwa mfano…

27 September 2025, 7:50 pm

RC Chacha awakabidhi ma-DC magari matatu

Na Wilson Makalla Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amekabidhi magari matatu kwa Halmashauri za Manispaa ya Tabora, lgunga na Sikonge, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa viongozi katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Akizungumza katika hafla ya makabidhiano,…

26 August 2025, 20:06

Wahitimu darasa la saba watakiwa kuepuka makundi maovu

Kutokana na maendeleo ya sayansi na tekinolojia baadhi ya makundi ya vijana wamekuwa wakitumia maendeleo hayo kwa mlengo chanya na hasi. Na Hobokela Lwinga Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, Robert Pangani, amewataka wanafunzi wahitimu Darasa…

August 13, 2025, 7:11 pm

BOT yatoa agizo kuhusu utunzaji wa noti

Na Mwandishi wetu BENKI Kuu ya Tanzania (BOT) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imewasihi Wakazi wa mikoa ya Nyanda za Juu kuzitunza vizuri fedha aina ya noti ili kutekeleza sheria za nchi. Meneja Msaidizi idara ya uchumi na takwimu…