Storm FM

sheria

5 December 2025, 22:56

Kigoma DC yatwaa tuzo uwasilishaji bora hesabu za fedha 2024

Nidhamu ya kitaaluma na utekelezaji wa maelekezo ya serikali katika kuimarisha mifumo ya fedha na uwazi wa taarifa vimetajwa kuchochea Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kutunukiwa tuzo ya mshindi wa pili ya uwasilishaji bora wa fedha kwa mwaka 2024 Na…

16 June 2025, 11:43 pm

NSSF Manyara yatoa siku 14 kwa waajiri wadaiwa sugu

Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii(NSSF)mkoa wa Manyara unatarajia kuanzisha operesheni maalumu ya ukusanyaji wa madeni kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango ili kuhakikisha haki za msingi za wananchama zinalindwa Na Mzidalfa Zaid Waajiri wenye malimbikizo ya michango ya…

19 May 2025, 8:40 pm

PM Majaliwa: Walioiba vifaa tiba wachukuliwe hatua kali

Waziri mkuu akizungumza na wananchi mjini Sengerema wakati wa ziara yake ya kikazi wilayani hapo.Picha na Elisha Magege Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Mwanza uhakikishe unakamilisha uchunguzi wa watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Sengerema wanaodaiwa kuhusika na…

3 February 2025, 5:12 pm

TEHAMA yaongeza kasi uendeshaji shughuli za Mahakama Geita

Kilele cha wiki ya sheria nchini hufanyika kwa kujumuisha shughuli mbalimbali zinazohusiana na masuala ya sheria ili kuelimisha wananchi na kuhamasisha matumizi bora ya sheria katika jamii. Na: Ester Mabula – Geita Jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Geita…

29 January 2025, 12:45 pm

Msaada wa kisheria wa Mama Samia wafika Nyabulanda Geita

Wananchi katika maeneo mbalimbali mkoani Geita wameendelea kupokea msaada wa kisheria juu ya masuala mbalimbali kupitia kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia Lega Aid. Na: Kale Chongela – Geita Wakazi wa kata ya Nyabulanda wilaya ya Nyang’hwale mkoani…

25 January 2025, 3:26 pm

Geita yazindua maonesho kuadhimisha wiki ya sheria

Jumla ya mashauri 282 yalifunguliwa mwaka jana 2024 tangu kuanzishwa kwa mahakama kuu ya Tanzania masjala ndogo ya Geita. Na: Kale Chongela – Geita Jumla ya mashauri 282 yalifunguliwa mwaka jana 2024 tangu kuanzishwa kwa mahakama kuu ya Tanzania masjala ndogo ya…

14 October 2024, 7:57 pm

Ulishaji mifugo holela ni adui wa mazingira

Na Mariam Kasawa. Wakazi jijini Dodoma wametakiwa kuachana na ufugaji holela ambao umekuwa ukichangia kwa kiasi kikubwa kuangamiza miti inayo pandwa. Bwn. Innocent  Makomba Afisa mazingira  amesema hayo katika mahojiano maalum baada ya zoezi la upandaji miti katika shule ya…

22 April 2022, 1:53 pm

Serikali yashauriwa kusimamia malipo kwa wafugaji

Na;Yussuph Hassan. Serikali Nchini imeshauriwa kusimamia kwa kina suala la malisho kwa wafugaji kwani kundi hilo limekuwa likichangia kwa kiasi kubwa shughuli za kiuchumi. Akizungumza na waandishi wa habari na Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Nchini Jeremia Wambura amesema kuwa…

10 May 2021, 11:24 am

Wafugaji watakiwa kutumia njia bora za ulishaji wa mifugo

Na; Thadei Tesha. Wafugaji nchini wameshauriwa kutumia njia bora za kisasa na kiteknolojia za  kulisha mifugo ili kuleta tija katika  soko la mifugo  nchini. Akizungumza katika mahojiano maalum na kipindi cha taswira ya habari mtaalamu na mtafiti kutoka kituo cha…