Storm FM

miundombinu

September 17, 2025, 11:29 am

Nyasa waaswa kuchangamkia fursa za bandari

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Perresi Magiri amewaasa wananchi wa Nyasa kuwa na tabia ya kuzichungulia fursa mbalimbali kwa kutazama changamoto zilizopo katika jamii. Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Perresi Magiri amewaasa wananchi wa Nyasa kuwa na tabia…

12 September 2025, 08:39 am

Wananchi kijiji cha Nyengedi kuchangia 10,000 ujenzi wa shule

Wananchi wa Nyengedi wametakiwa kutekeleza kwa uaminifu makubaliano ya kuchangia shilingi 10,000 kwa kila kaya ili kufanikisha ujenzi wa Shule ya Msingi Mnyengedi, mradi unaolenga kuboresha elimu na kupunguza adha ya watoto kutembea umbali mrefu NA MUSA MTEPA Wananchi wametakiwa…

4 September 2025, 5:14 pm

Tushikamane amcos yalipa milioni 66

Chama cha Ushirika TUSHIKAMANE AMCOS kilichopo kata ya Mwaya, wilayani Ulanga mkoani Morogoro, kimewalipa wakulima 14 zaidi ya shilingi milioni 66 walizokuwa wanadai kwa msimu wa kilimo 2024, kwa kushirikiana na serikali ya wilaya kupitia Idara ya Kilimo. Na: Isidory…

15 August 2025, 16:28 pm

Wanahabari watakiwa kuzingatia weledi uchaguzi mkuu

Mafunzo kwa waandishi wa Jamii FM Redio yamewahimiza kuzingatia weledi, usalama kazini na kujikinga na uhalifu mtandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 Na Musa Mtepa Waandishi wa habari wametakiwa kuwa makini na kuzingatia weledi wa taaluma yao, hususan…

14 August 2025, 4:05 pm

AGRICOM mshindi maonesho ya Nane Nane

Kampuni ya AGRICOM Africa Limited imeibuka mshindi wa pili katika Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane 2025 kanda tya Mashariki, yaliyofanyika mkoani Morogoro kwa makampuni yanayojishughulisha na uuzaji wa zana za kilimo, kutokana na mchango wake mkubwa katika kuhamasisha matumizi…

13 August 2025, 4:29 pm

Wanahabari waaswa kuelimisha jamii umuhimu wa chanjo

Na Mary Julius. Waandishi wa habari wametakiwa kushirikiana kwa karibu na wizara ya Afya Zanzibar kitengo cha chanjo ili kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa chanjo, kwa lengo la kupunguza upotoshaji na dhana potofu zinazohusu chanjo.Afisa kutoka Kitengo cha Chanjo Zanzibar,…

6 August 2025, 13:01

Wakulima waaswa kuzingatia ulinzi wa mazingira

Wakulima mkoani Mbeya wametakiwa kuzingatia ulinzi wa mazingira ili kusaidia kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Na Samwel Mpogole .. Wakulima mkoani Mbeya na maeneo ya Nyanda za Juu Kusini wametakiwa kuzingatia ulinzi wa mazingira licha ya shughuli zao za…