Storm FM
Storm FM
27 January 2025, 1:30 pm
Matukio ya waendesha pikipiki kujeruhiwa na kuporwa vifaa vyao vya kazi yanaendelea kuzua sintofahamu na swali likiwa nani kutegua kitendawili hicho. Na: Edga Rwenduru – Geita Kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa 20 hadi 25 ambaye ni dereva pikipiki maarufu…
18 November 2024, 08:44
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Kisena Mabuba amewahakikishia madiwani wa Manispaa hiyo kuwa anasimamia kwa nguvu ili kuhakikisha maeneo ya wazi yanayomilikiwa na Manispaa yanapatiwa hati miliki ili kuepuka maeneo hayo kuvamiwa na watu wasio waaminifu. Na, Lucas Hoha…
7 November 2024, 4:42 pm
Jamii mkoani Geita imeendelea kukumbushwa kuacha kujichukulia sheria mkononi ili kuepusha madhara yanayojitokeza ikiwemo vifo vya baadhi ya watu. Na: Evance Mlyakado – Geita Kamanda wa jeshi la Polisi mkoa wa Geita, Safia Jongo amethibitisha kukamatwa kwa Athuman Baseka (39)…
5 November 2024, 11:40 am
Zitakuwepo burudani mbalimbali zikiongozwa na msanii wa singeli Dullah Makabila, pamoja na vikundi vingine vingi kutoka mkoa wa Mara Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi wilayani Bunda kujitokeza kwa wingi katika tamasha la uchomaji wa nyama (Bunda nyama choma…
4 November 2024, 12:54 pm
Wivu wa mapenzi umeendelea kusababisha vifo kutokana na maamuzi ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi mkoani Geita. Na: Evance Mlyakado – Geita Kijana Faida Deusi anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25-35 mkazi wa kijiji cha Bugalama kata…
23 October 2024, 3:57 pm
Baada ya kuachana na njia ya kuchoma moto wakati wa kutayarisha mashamba na kuanzisha kilimo hai hali imekuwa tofauti na kuunusuru msitu wa Amani uliopo Wilayani Muheza Mkoani Tanga na majanga ya moto. Fuatana na mtayarishaji na mtangazaji Hamisi Makungu…
27 September 2024, 11:06 pm
“Unakuta meme umefika maeneo ya sentani tu halafu sisi tuliopo pembezoni hatupati tunaambiwa tu mradi unaishia hapo kwani sisi wa pembezoni hatustahili kupata huduma ya umeme?“ Wananchi wa kijiji cha Mwakabeya kata ya Ipililo Wilayani Maswa Wamelalamikia Huduma ya Umeme kufika kwenye Senta …
31 August 2024, 7:21 pm
Wanafunzi watatu na dereva mmoja wamefariki katika ajali iliyotokea wilayani Babati mkoani Manyara. Na Mzidalfa Zaid Watu wanne wamepoteza maisha wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha Coaster na gari la mizigo aina ya Scania katika eneo la…
28 August 2024, 1:50 am
Washtakiwa watatu kati ya wanne (wa kwanza kulia, wa kati na dada wa nyuma) waliokuwa wakishtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43) wametiwa hatiani kwa kutenda kosa hilo na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa. Na: Daniel Magwina – Geita…
18 July 2024, 3:49 pm
Matukio ya ukatili mkoani Geita ikiwemo vitendo vya mauaji vimeendelea kuacha simanzi na maswali kwa jamii pindi matukio hayo yanapotokea. Na: Edga Rwenduru – Geita Kijana aliyefahamika wa jina la Lisborn Adam Selemani (16) mkazi wa mtaa wa Nyerere Road…