Storm FM
Storm FM
12 December 2025, 12:06 pm
“Utekelezaji wa majukumu yenu unapaswa kuzingatia mkataba ili kutatua kero ya maji kwa wananchi” Na Hafidh Ally Wandarasi wazawa (wa ndani ya Nchi), wametakiwa kutanguliza uzalendo wanapotekeleza Ujenzi wa miradi ya Maji wanayopewa na Serikali ili kutatua kero ya maji…
3 December 2025, 7:07 pm
“Ukusanyaji wa Mapato umesaidia kupima utendaji kazi wa watumishi wa Bodi hiyo” Na Adelphina Kutika Bodi ya Tisa ya Bonde la Maji Rufiji imefanikiwa kuongeza mapato ya ndani kutoka shilingi bilioni 2.4 mwaka 2022/2023 hadi kufikia zaidi ya shilingi bilioni…
20 November 2025, 6:07 pm
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawasihi wananchi kutatua migogoro mapema ili kuepusha madhara yanayoweza kuzuilika. Na Mrisho Sadick: Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Maria Salvatory mkazi wa Kitongoji cha Bugoma Kijiji cha Kilombero Kata ya Lwamgasa Wilaya ya Geita…
18 October 2025, 4:08 am
“Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kifamilia” – SACP Safia Jongo Na: Ester Mabula Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linamshikilia mwanamke mmoja aitwae Martha Japhet (44) mkulima na mkazi wa kitongoji cha Mzalendo,…
September 21, 2025, 8:40 am
Ikiwa ni utekelezaji wa agizo la serikali la matumizi ya nishati safi Na Stephano Simbeye KIKOSI cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 845KJ Itaka wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kimeanza kufundisha jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala kwa kutumia taka za shambani.…
4 September 2025, 9:55 am
Mradi huo wa maji ambao uko asilimia 99 kukamilika umetajwa kuwa mkombozi kwa wananchi wa Iringa. Na Hafidh Ally Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji imetekeleza ujenzi wa mradi mkubwa wa maji wa Ismani–Kilolo kwa…
14 July 2025, 5:29 pm
Na Is-haka Mohammed. Viongozi wa wakulima wanawake katika kilimo Msitu na Mikoko Pemba (TOT) wametakiwa kuvitumia vyombo vya habari kueleza kazi wanazoendelea nazo ikiwemo mafanikio na Changamoto wanazokumbana nazo katika harakati zao za kilimo hicho.Wito huo umetolewa na Mkuu wa…
5 July 2025, 5:07 pm
Matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi yameendelea kuleta athari ikiwemo mauaji ya watu ambao wengine huenda wakawa hawana hatia. Na Mrisho Sadick: Mama wa kijana Enock Muhangwa (25) aliyeuawa kwa kipigo katika Kijiji cha Uyovu Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita…
25 February 2025, 2:57 pm
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Geita, Kamishna mwandamizi wa polisi SACP Safia Jongo Februari 24, 2025 ametoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya matukio mbalimbali. Na: Ester Mabula – Geita Jeshi la polisi mkoa wa Geita linawashikilia…
11 February 2025, 2:08 pm
Wadua wa afya African Afya Initiative, CACHA na halmashauri ya wilaya ya Simanjiro kwa pamoja wanashirikiana kutoa huduma za afya kwa magonjwa mbalimbali katika Kata za Terrat na Komolo wilayani Simanjiro. Na Baraka David Ole Maika. Akizungumza na Orkorenei Fm…