Storm FM

maendeleo

5 September 2025, 10:21 am

Wakazi wa Nyakafuru wafurahia kituo cha afya

Jumla ya miradi 9 ya maendeleo kwenye sekta ya afya, maji, elimu na miundombinu ya barabara wilayani Mbogwe mkoani Geita imepitiwa na Mwenge wa uhuru mwaka 2025. Na: Kale Chongela Wakazi wa kata ya Nyakafuru, halmashauri ya wilaya ya Mbogwe…

4 September 2025, 10:38 am

Mwenge waridhishwa na mradi wa visima Nyangh’wale

Mwenge wa uhuru ukiwa wilaya ya Nyangh’wale  umetembelea, kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye jumla ya miradi 11 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1. Na: Kale Chongela Mwenge wa uhuru umeridhishwa na ujenzi wa mradi wa visima vitano vya maji katika kata ya Shabaka, halmashauri…

22 August 2025, 3:27 pm

GGML yaridhia kuwalipa fidia wakazi Nyakabale na Nyamalembo

Hatua hiyo imefikiwa baada ya pande zote kukubaliana kuanza mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wanaotakiwa kupisha maeneo yanayotumiwa na mgodi huo Na: Ester Mabula Serikali kupitia wizara ya madini imetangaza rasmi kumalizika kwa mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka…

18 July 2025, 5:15 pm

Wanahabari Manyara wapatiwa mafunzo ya ukaguzi

Waandishi wa habari mkoani Mmanyara wamepatiwa mafunzo ya kujengewa uwezo wa  kufanya shughuli zao za kuelimisha jamii zinazohusu habari za ukaguzi. Mafunzo hayo yametolewa na wataalamu kutoka Tasisi ya mkaguzi mkuu wa serikali (CAG) kwa lengo la kuwawezesha waandishi wa habari…

21 June 2025, 3:48 pm

Kutoka ungariba hadi kiongozi wa mabadiliko

Safari ya Rhobi, mafanikio yake, changamoto, na mwito wake kwa wanawake Na. Edward Lucas Katika jamii inayokabiliwa na mila kandamizi na uwakilishi mdogo wa wanawake katika uongozi, Diwani Rhobi Ghati kutoka Kata ya Kiore, halmashauri ya wilaya ya Tarime, mkoani…

17 June 2025, 3:28 pm

Serikali yaahidi kuendelea kutumia tafiti za vyuo vikuu

Kongamano lapili la sayansi ya Afya chuo kikuu cha Dodoma linafanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa jiji Mtumba ambapo kaulimbiu ya mwaka huu inasema Evidence based practise and innovation in addres heaith challenges. Na Mariam Kasawa. Serikali kupitia wizara…

27 May 2025, 2:41 pm

DC Komba akabidhi mifuko 538 ya saruji Geita DC

Jumla ya mifuko 538 ya saruji imetolewa katika ya mifuko 1,071 iliyoahidiwa ili kuweza kukamilisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Afya, elimu na miundombinu. Na: Ester Mabula: Mkuu wa wilaya ya Geita Mhe. Hashim Abdallah Komba leo Mei…

15 May 2025, 5:12 pm

Vikundi 100 vyapatiwa mkopo halmashauri ya manispaa ya Geita

Jumla ya kiasi cha shilingi Bilioni 1.228 kimetolewa kwa vikundi 100 vinavyojumuisha makundi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kuweza kujikwamua kiuchumi kupitia miradi mbalimbali. Na: Ester Mabula: Hafla ya utoaji wa mikopo hiyo imefanyika leo Mei 15,…

14 May 2025, 9:31 am

Wizara ya Maendeleo ya Jamii kuwainua wafanyabiashara

‘Mikopo hii ina riba nafuu kabisa na ni maono ya serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwainua wafanyabishara kufikia malengo yao’ – Afisa maendeleo ya Jamii Carlos Gwamgobe Na: Ester Mabula: Serikali kupitia wizara…