Storm FM

kifo

September 21, 2025, 8:56 pm

Machifu Songwe waombea uchaguzi

Umoja wa Machifu umefanya dua maalumu kusisitiza amani, utulivu na mshikamano Na Devi Mgale UMOJA wa Machifu Mkoa wa Songwe umefanya dua maalumu ya kuombea uchaguzi wa mwaka huu uwe wa amani na utulivu. Dua hiyo imefanyika Septemba 20, katika…

1 September 2025, 5:53 pm

Kichanga cha siku moja chachomwa moto Geita

“Kwakweli tunaomba polisi wafuatilie tukio hili ili kukomesha watu wenye roho za kikatili na kinyama kiasi hiki, huyu mtoto huwezi jua angekuwa nani baadaye” – Mwananchi Na: Edga Rwenduru: Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na siku moja amekutwa amechomwa moto na…

6 August 2025, 18:45 pm

Makala: Kuruthumu apatiwa msaada wa kununua kiatu maalum

“Kuruthumu amepatiwa msaada wa shilingi 300,000 kwa ajili ya gharama za ununuzi wa kiatu hicho maalumu. Huu ni mwanzo mpya kwa maisha yake, kwani sasa ataweza kushiriki ipasavyo katika shughuli za kila siku bila kikwazo kikubwa cha utembeaji” Na Msafiri…

1 August 2025, 18:08 pm

SDA yataka usawa kwa wenye ulemavu

Ni warsha kujadili changamoto na fursa kwa watu wenye ulemavu, ikiwakutanisha viongozi wa serikali na wadau wa maendeleo, lengo ni kuimarisha elimu jumuishi na kuondoa mitazamo potofu. Na Mwanahamisi Chikambu Katika juhudi za kuendeleza elimu jumuishi na kuboresha maisha ya…

8 June 2025, 6:48 pm

Wananchi waaswa kulinda amani ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu

‘Bila amani hatutaweza kufanya kazi za kujiingizia kipato, hakuna kitu kikubwa kama amani’ Na Cosmas Clement Wananchi wilayani Pangani Mkoani Tanga wameaswa kulinda Amani ya nchi iliyopo ili kuwawezesha kuendesha shughuli zao za kujipatia kipato katika hali ya usalama. Wito…

4 June 2025, 9:31 am

Ukarabati wa barabara kero kwa wananchi Mpanda

“Hali ya barabara sio salama” Na Samwel Mbugi Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mpadeco kata ya Makanyagio wamelalamikia ukarabati wa barabara za mitaa zilizorekebisha bila kumwagiwa maji wala kushindiliwa ambapo kumesababisha vumbi ambalo limekuwa kero. Wakizungumza na Mpanda radio…

18 April 2025, 4:43 pm

Mume aua mke chanzo kikitajwa wivu wa mapenzi

“Mama mzazi wa marehemu amepoteza maisha baada ya kupata mshtuko kutokana na taarifa ya kifo cha binti yake” – Mwenyekiti Na: Edga Rwenduru: Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Lesine Chongela, mkazi wa kijiji cha Bugogo kilichopo Kata ya Bukoli,…

3 April 2025, 5:56 pm

Asteria Lunyilija (60) auawa kwa kukatwa panga Bulela

Jeshi la Polisi mkoani Geita limeandaa mpango maalum wa kuendelea kutoa elimu kwa Jamii ili kuweza kukabiliana na vitendo vya uhalifu ikiwemo ukatili. Na: Paul William: Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Asteria Lunyilija (60) mkazi wa kijiji cha Bulela, kata…