Storm FM

ardhi

27 November 2025, 15:33

Polisi, JWTZ waanza doria Ziwa Tanganyika

Katika kukabiliana na vitendo vya uhalifu ndani ya ziwa Tanganyika Jeshi la Pilisi kwa kushirikiana na JWTZ limezindua boti ya doria ndani Ziwa Tanganyika. Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma kwa kushirikiana na jeshi la wananchi wa Tanzania…

26 November 2025, 08:11

Wananchi watakiwa kufichua wahalifu ziwa Tanganyika

Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Sirro ametembelea mwalo wa Lubengela katika Kijiji cha Msiezi Kata ya Sunuka Wilayani Uvinza mkoani hapa kwa lengo la kuzungumza na wakazi wanaoishi mwambao mwa Ziwa Tanganyika na kuwataka kuwafichua wahalifu…

22 September 2025, 7:50 PM

CCM Masasi mguu sawa ujio wa Dkt Samia

“Kama  wana  Masasi jumanne ya  septemba 23, 2025 tuna  kila  sababu  ya  kwenda  kumsikiliza mgombea urais  kupitia  Chama  Cha Mapinduzi, maana kuna  mengi mazuri ameyatenda  kwetu“ Na Neema Nandonde Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya  Masasi  mkoani Mtwara kimesema  kimejipanga…

19 September 2025, 10:32 am

Tembo, michango yawaumiza wananchi Sululu

Wananchi wa Kijiji cha Sululu wilayani Kilombero wameeleza kero ya tembo kuharibu mazao na mzigo wa kuchangia walimu wa kujitolea. Mkuu wa wilaya, Wakili Dunstan Kyobya ameahidi hatua za haraka kutatua changamoto hizo. Na: Kuruthum Mkata Wananchi wa Kijiji cha…

16 September 2025, 07:26

Helen Keller kutoa matibabu ya macho Songwe

Kutokana na kuwepo wa gharama kubwa katika matibabu ya macho, shirika la Helen Keller International limejitoa kusaidia watu wenye tatizo la macho mkoani Songwe. Na Ezekiel Kamanga Katika hatua muhimu ya kupunguza upofu unaepukika, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya…

10 September 2025, 09:28

RC Kigoma ahimiza viongozi wa dini kuhubiri amani

Serikali ya Mkoa wa Kigoma kwa kushirikiana na Serikali Kuu imesema itaendelea kusimamia Sera na mikakati ya kudumisha amani, usalama na Maendeleo kwa wananchi wa Mkoa wa Kigoma. Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, IGP Mstaafu Balozi Simon…

27 August 2025, 16:36

Askari wa jeshi la kiba watakiwa kuwa wazalendo Kigoma

Vijana waliohitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la akiba wameaswa kuwa wazalendo Na Lucas Hoha Mkuu  wa Wilaya  ya Kigoma Dkt Rashird Chuachua amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya awali ya jeshi la akiba kuwa wazalendo katika kulinda na kuhakikisha nchi…

14 August 2025, 7:02 pm

Teknolojia ya mkaa mbadala yazinduliwa Kilombero

Katika semina iliyoandaliwa kupitia mradi wa UNIDO kwa ufadhili wa Serikali ya Japan na utekelezaji wa SIDO, wadau mbalimbali wa maendeleo wamekutana mjini Ifakara kujadili na kuelimishwa juu ya teknolojia ya kutengeneza mkaa mbadala kwa kutumia pumba za mpunga Katika…

8 August 2025, 3:42 pm

Wadau sekta ya kilimo watakiwa kutimiza wajibu wao kwa weledi

Maadhimisho ya wakulima ya Nanenane mwaka huu yanafanyika kitaifa mkoani Dodoma, yakilenga kuhamasisha uzalishaji na matumizi ya teknolojia katika sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi. Na Seleman Kodima.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito…