Storm FM
Storm FM
26 August 2025, 9:35 am
Huduma ya chanjo ni kipaombele kikuu cha serikali ambapo chanjo hizo ni salama na zimethibitishwa na shirika la afya duniani (WHO)pamoja na wizara ya afya kupitia wakala wa chakula, dawa na vifaa tiba ,hivyo hakuna sababu ya kuhofia kupata chanjo…
25 August 2025, 9:39 am
Viboko walioko katika Bwawa la Mtera Wilaya ya Iringa wamekuwa kero kwa wananchi hao jambo linalohatarisha usalama wao. Na Adelphina Kutika Wananchi wa Kata ya Migoli, Wilaya ya Iringa, wameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kudhibiti wanyama wakali, hususan boko…
August 22, 2025, 2:04 pm
Familia moja iliyopo barabara ya Losaru mtaa wa Bondeni, Kijenge Kusini jijini Arusha imelalamikia utupaji wa taka hovyo na utiririshaji wa maji taka unaofanywa na baadhi ya wapangaji waliopo eneo hilo, hali inayohatarisha afya za wakazi pamoja na usalama wa…
20 August 2025, 11:15 am
Malezi ni mchakato wa kumtunza, kumuelekeza, kumuongoza na kumuelimisha mtoto hadi anapofikia umri wa kujisimamia mwenyewe. Na Joyce Buganda Wazazi na walezi mkoani Iringa wametakiwa kushirikiana kwa pamoja katika Malezi ya watoto ili kuwasaidia katika ukuaji wa maadili mema katika…
19 August 2025, 4:04 pm
Hadi sasa tayari shilingi milioni 3 zimekusanywa kupitia jitihada za jamii na wadau mbalimbali, kati ya milioni 60 zinazohitajika Na Mrisho Sadick: Zahanati ya Buseresere Wilayani Chato inahitaji jumla ya shilingi milioni 60 ili kukamilisha ujenzi wa jengo la mama…
14 August 2025, 10:20 am
Mpango wa kutokomeza ukatili wa kijinsia unalenga kuongeza usawa wa kijinsia katika jamii. Na Joyce Buganda Serikali imekuja na Mpango wa Taifa wa kutokomeza ukatili wakijinsia kwa wanawake na watoto MTAKUWWA awamu ya pili mpango unatekelezwa nchi nzima kwa kumtaka…
7 August 2025, 7:02 pm
“Ulishaji wa maziwa ya mama pekee husaidia kupunguza vifo vya watoto wachanga, kuimarisha ukuaji wa akili, na kupunguza hatari ya kupata magonjwa sugu” Na Anna Millanzi Maziwa ya mama ni chakula bora na kamili kwa mtoto mchanga, hasa katika miezi…
7 August 2025, 10:48 am
Tukio hilo la kusikitisha limebainika baada ya vijana wanaokusanya plastiki kugundua mwili huo, uliokuwa umefichwa chini ya takataka. Na Hafidh Ally Wananchi wa Mtaa wa Ngome Kata ya Kihesa Manispaa ya Iringa wamelaani tukio la mwili wa Mtoto mchanga kutupwa…
31 July 2025, 6:52 pm
“Imekuwa ni desturi yetu GGML kila mwaka kuikumbuka jamii hususani kupitia masomo kwa mtoto wa kike kwa kushirikiana na serikali ya mkoa wa Geita” – Doreen kutoka GGML Na: Ester Mabula Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold…
25 July 2025, 3:27 pm
Hadi sasa serikali imefanikiwa kufikia asilimia 90 ya watu wanaotambua hali yao ya maambukizi, asilimia 98 wapo kwenye tiba, na asilimia 98 wamefubaza virusi. Na: Ester Mabula Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Tanzania (NACOPHA) limetoa…